Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wale mabrazameni ndio kwanza wajifanyanya kushangaaa....oooh oi what is this. say it again....NAMCHANA NAKUPENDA NA NAKUTAKA TWNDE MUDA HII.....mara no no, no pleaeUlikutana na wajinga ningekupiga maswali hadi uchanganyikiwe mbn ishu simple sana
Watu bhn😄Ebu jaribu kwangu nione kama bado nina msimamo
🌝🌝🌝Nyie mbn masikio mnategaNaweza mengi ila kutongoza dume na ndevu zake sijui kama nitakuja kuweza
Hebu tupeni hizo mbinu 😀😀Tena wale mabrazameni ndio kwanza wajifanyanya kushangaaa....oooh oi what is this. say it again....NAMCHANA NAKUPENDA NA NAKUTAKA TWNDE MUDA HII.....mara no no, no pleae
Kwani wao wanasemaje brazamenHebu tupeni hizo mbinu 😀😀
Hata sijui naona tu watu wanasema wanatongza😀Kwani wao wanasemaje brazamen
Hii fursa yakutongozwa isinipite nianze na ww nitongoze tu🤣Hata sijui naona tu watu wanasema wanatongza😀
Nijaribu mimiHome Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga
Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.
Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie.
Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu!
(HIKI NACHOANDIKA KWENYE MABANO SIO SEHEMU YA MJADALA : Ni mwiko kwa mwanamke uliye na ndoa kuchepuka, hamna sababu ya kuhalilsha hilo hata kama mmeo ni mwingi huko nje, shoga endelea...tukikwambia unatuona sisi washamba endelea).
Wewe lazma ni pungaNishawakataa wadada zaidi ya wawili waliokuja kunitongoza. Hii kitu kipo.
Sikuweka focus kubwa sana kwenye mahusiano, niliwaona kama wataharibu malengo yangu.
Shoga weweUtomboy unaanzaga hvyo hvyo
Kuna binti alikuwa anavaa kiume afu anaenda disco anaanza kutongoza mademu wenzie akawa anafurah kuwaona wanavyotulia kumsikiliza
Nilienda chuo nikawa nasoma na madogo niliowazid miaka kama 10+ sasa kikatokea kibinti kidogo kiumri na kimwili kakanizoea sana kakawa kanakaa na mimi, siku moja kakaniambia kananipenda na brabra kadhaa hadi nilishangaa niliishia kukasapoti tu ila sikukamega
Umri ulishanitupaNijaribu mimi