Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Angezimia yaan tena umpe hii akiwa NOTES BOARD kumejaa watu wameshonana kusoma ratiba kipindi kile kabla ya kizazi cha ratiba online....enzi zetu
Kumbe ni enzi za zamani watu walikuwa na aibu na maadili, lakini jaribu sasahivi uone, hujamazilia kuongea, unajikuta ushavuliwa chupi.
 
Ni upumbavu kutongozwa na mwanamke halafu ukakataa.

Mwanamke akikutongoza unapaswa ukubal bila kumuonesha mashaka ya mtongozo wake.

Mengine yatajulikana baadae.
Kama hakuvutii je, unakwama kijana.
 
Kumbe kuna watu huwa wanaangalia watu machoni?
Binafsi siwezi, wakati wa kukua niligombezwa sana niache ila ilishindikana.
Awe mwanaume awe mwanamke, sitazami mtu machoni mimi.
Jinsia yako tafadhali.
 
[emoji23][emoji23] nilitongozwa na dada wa rafiki angu nikabaki nachora na miguu chini aisee [emoji23][emoji23] , nikikumbuka nabaki kuchekaa
 
Mi nilitongozwa mara kibao, cha ajabu wanaonitongoza wanakuwa hawavutii, ninaowawinda ndo wananipiga chenga.
 
Wanawake wengi wa kiAfrica wanaonaga Soo kutongoza wanaume.

Ila wanawakuwaga na ishara zao wenyewe wanazijua.
 
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie.

Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu!

(HIKI NACHOANDIKA KWENYE MABANO SIO SEHEMU YA MJADALA : Ni mwiko kwa mwanamke uliye na ndoa kuchepuka, hamna sababu ya kuhalilsha hilo hata kama mmeo ni mwingi huko nje, shoga endelea...tukikwambia unatuona sisi washamba endelea).
you dealt with few ignorant...uka-sum up kuwa wote wako hivyo
 
kwahiyo ulivyowakataa umeshakuwq tajiri namba moja duniani??
Nimekuwa mtu mwenye high self esteem.

Mwenye uwezo wa kuamua kitu KUWA hapana na ndio. Sina mindset za kijinga za kula na kupita hivi.
 
Back
Top Bottom