Ha ha haa dada yangu mbona utundu wenu huo haujatoa uhalisia?
Unajua nyie mlivyokua kua mkiwa surprise mmadhani ndo udhaifu wenyewe huo,hapana.
Iko hivi,mtu yoyote hata kitoto Cha darasa la Tatu kikikuvamia ghafla na kukuomba sh 200 TU,hata kama una milion Tano mfukoni za kwako na unaenda nazo bar kutumia,ni lazima utapagawa na kujikanyaga kwa sababu hujui huyo mtoto katumwa,ana shida kweli ama ni mtego.
Huwezi kutoa TU ghafla Hadi ujiridhishe.
Kitu chochote Cha ghafla ndio hua na majibu ya tabia hizo ulizoziona kwa hao wakaka.
Hebu fikiria akili yake ilikua off kabisa juu Yako then ukaanza kumtiongoza kwa kawaida hata kua na majibu tayaritayri kitu amabcho wewe ndio unaita kujikanyaga.
Any way wewe ndio ilikua furaha Yako kuona mwanaume kakosa majibu ya ghafla.