Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie.

Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu!

(HIKI NACHOANDIKA KWENYE MABANO SIO SEHEMU YA MJADALA : Ni mwiko kwa mwanamke uliye na ndoa kuchepuka, hamna sababu ya kuhalilsha hilo hata kama mmeo ni mwingi huko nje, shoga endelea...tukikwambia unatuona sisi washamba endelea).
Hiyo sentensi yako ya mwazo hapo juu ina lengo gani hasa?
 
Yaan nitongoze wababa wa Ofisini vile tunaheshimiana hivyo[emoji23][emoji23]c ndo ntasababisha matatizo aiseee tufanye utani mwingine sio wa kujaribu kutongozana ati
 
Mioyo ilikuwa inawaenda mbio Kwa sababu damu yote ishakimbilia chini[emoji1787]
Hao ukiwaambia nakupenda tu wanaloa, unaamsha upwiru[emoji1787] Angalia usije kubakwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna mdada alijichanganya nilikuwa sijawahi hata kumfikiria, kazinguana na kuachana na mumewe mwezi mmoja nyuma, nyege zake zikamtuma kwangu.

Nilistuka naona text mida ya saa 5 night "mambo" nikaitikia, mara "karibu tulale" hiiiiiii!! Nilipandwa na wazimu comred kipepe akachachamaa hadi nikahisi misuli inataka kupasuka! Tuliendelea kuchat nampandisha stimu nikamwambia namuibukie, akasema "njoo" akidhani siwezi kwenda usiku ule.

Nyege zimempanda hadi katoka nje kukojoa, mara anastukia njemba hii hapa! Akashangaa sana, akaniuliza "una ukame wa muda gani?" Akanikomalia nisubiri kesho yake mida hiyo hiyo mibovu watu wote wamelala, kweli kesho yake nilimpelekea moto wa hatari, na alivyokuwa mtamu dah! Dudu ilikuwa hailali yaani, hadi leo Sharifa ananipaga tena na tena na tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitie wenda wazimu uje kunitongoza mimi hapa👇
-5940769622930340676_120_1.jpg
 
Back
Top Bottom