Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Naweza mengi ila kutongoza dume na ndevu zake sijui kama nitakuja kuweza
Hata kwa vitendo au signs?
Kuna dada mi nilimwelewa tu mazingira aliyotengeneza basi nikamalizia tu kumwambia nampenda, na bado akawa anajizungusha huku najua kabisa yeye ndio alianza habari za kutakana.

Zile like huwa unakula wapi? Nipe namba ya simu baadae nitaku text tukale wote pale restaurant.

Weekend leo, twende zetu sehemu, then ana force yeye ndie alipe bill sababu alikuita. Ma text ya usiku mwema, umefika salama, umeamka salama, umekula nini, unafanya nini, uko wapi?

Mwishowe huwa tuna give in... tena wanaume sisi ndio tunadanganyika kirahisi na mwanamke akifanya ukarimu, tunahisi ni real love🤣🤣🤣.

Ila kwa experience yangu mapenzi ya kutongozwa na mwanamke yanaishiwaga Oxygen mapema. Mwanamke mara nyingi anakuwa mlalamishi, anaona kama anaonewa kila saa anawekwa roho juu.
 
Na ukiikataa kuna siku utaikumbuka tu
🤣Kuna demu kwa michongo hiyo, nilimtia makofi ila miaka ilivyoenda mbele nikawa najutia hapo kaolewa kapendezaa.

🤣Mwingine nilimpiga chenga mpaka akawa ananiuliza maswali magumu,nina kasoro gani, unasomea u padre...baadae nakuja kukutana nae, tako limemtoka utadhani kachongesha mloganzila, kashakuwa mjanja nikaomba akagoma kabisa NIKAJUTA
🤣Mwingine katoto kwangu,nakazidi miaka kibao,hata umbo lake.Nikakapuuza nakuja kukutana nako mtaani kanasoma CBE. NIKAJUTA.

NIKABADILI KATIBA... aisee hata mtu ana miaka 48,50 akileta mzaha atajikuta, anaimba Ohsiii tartibuuu🤣. Isitoshe huu huwa kama upepo kuna muda unakata.

Sababu tangu nibadili katiba haitokei tokei. Nadhani mademu huwa wanapagawa na mtu mysterious au mwenye achievements flani, hasa vyote kwa pamoja.
 
Ukikataa siku ukamkumbuka ukamcheki wengi huwa hawakubali kirahisi. Kuna mmoja nilimfungia vioo siku fulani nikampigia kwa mambo mengine hakupokea, akanitext kuwa yupo na mmewe nisimpigie, nikajua tu alidhan nataka tunda ndio maana akatuma text ya vile.
 
Mioyo ilikuwa inawaenda mbio Kwa sababu damu yote ishakimbilia chini🤣
Hao ukiwaambia nakupenda tu wanaloa, unaamsha upwiru🤣 Angalia usije kubakwa tu😂😂😂
Sio kila mara inaposimama ni kwamba mwanaume anataka kutomba. Alafu kuna semen (maji maji yanayotumika kulainisha njia ya kupiti sperms/manii) na pia kuna sperms (manii mazito kama makamasi ya njano au rangi ya maziwa hizo ndo mbegu zenyewe) kinachotokaga wakati tunapiga story za kusisimua ni yale majiamji siyo tu mwanamke pekee ndo analowa papuchi hata mwanaume yale maji maji humtoka kiuanda mazingira ya manii kutoka maana ni nzito kama hamna utelezi wala hazitaweza ogelea mpk kwenye papuchi. Kwahio msione kama ukiongea ufuska mwanaume kalowa kapiga bao hakunaga io kitu hata ndoto nyevu ilo bao lenyewe linachukua muda. Kulowa k kwa mwanamke akishikwashikwa ni kawaida ila mwanaume akitokwa na majimaji baada kuongelea story flani za kusisimua mnaona kama ni mjinga mjinga. Miili ya wanaume ipo complicated sana ndo maana mnasikia matatizo ya nguvu z kiume sababu siyo punyeto wala lishe ishu tatizo la kibiologia au psychological. Honor ur mana kama hayo maji maji hayamtoki siyo mzima wala usimdhalialishe
 
tulikuwa tukienda direct, sentensi baada ya sentensi and very bold mpaka mkaka anashindwa to control the discussion, tulikuwa hatuachi nafasi ya mkaka to took the control
Ulikutana na wajinga ningekupiga maswali hadi uchanganyikiwe mbn ishu simple sana
 
Kama haupo classic mfano wa Jokate Mwegelo ukinitongoza utaishia kupata negative respond. Hadi utajichukie

Maisha lazima useti standard.
 
Sio kila mara inaposimama ni kwamba mwanaume anataka kutomba. Alafu kuna semen (maji maji yanayotumika kulainisha njia ya kupiti sperms/manii) na pia kuna sperms (manii mazito kama makamasi ya njano au rangi ya maziwa hizo ndo mbegu zenyewe) kinachotokaga wakati tunapiga story za kusisimua ni yale majiamji siyo tu mwanamke pekee ndo analowa papuchi hata mwanaume yale maji maji humtoka kiuanda mazingira ya manii kutoka maana ni nzito kama hamna utelezi wala hazitaweza ogelea mpk kwenye papuchi. Kwahio msione kama ukiongea ufuska mwanaume kalowa kapiga bao hakunaga io kitu hata ndoto nyevu ilo bao lenyewe linachukua muda. Kulowa k kwa mwanamke akishikwashikwa ni kawaida ila mwanaume akitokwa na majimaji baada kuongelea story flani za kusisimua mnaona kama ni mjinga mjinga. Miili ya wanaume ipo complicated sana ndo maana mnasikia matatizo ya nguvu z kiume sababu siyo punyeto wala lishe ishu tatizo la kibiologia au psychological. Honor ur mana kama hayo maji maji hayamtoki siyo mzima wala usimdhalialishe
Kama unakitu hivi
 
Back
Top Bottom