kao la amani
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 386
- 580
Dah, utateseka maana maisha hayako fair kiasi hicho, mimi hao ndio nawapenda nipige na kusepa. Napiga.halafu na angalia.uana harakati wake nachekea pembeni.Dah mambo ya hit and run siwezagi. Nikianzisha mahusiano hua na target mbali sana.
Sasa yule feminist mdau wa 50/50 ningemkubalia na hisia zinge-click fikiria tabu ambazo ningezipata hivi sasa. Uamuzi sahihi kwangu ulikua kumtema mazima bila kumla.