Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Mlikuwa mnakutana na madomo zege bila shaka ama mazingira hayakuwa rafiki kwa faragha.

Unakutana na mtu kapombeka kiasi unamletea hizo pigo anakuinamisha chap au anapima SAE4O ama anakupa mate kwa spidi ya light.
 
Alikuwaje, kwani ni lazima ujenge kibanda,
Dah mambo ya hit and run siwezagi. Nikianzisha mahusiano hua na target mbali sana.

Sasa yule feminist mdau wa 50/50 ningemkubalia na hisia zinge-click fikiria tabu ambazo ningezipata hivi sasa. Uamuzi sahihi kwangu ulikua kumtema mazima bila kumla.
 
tulikuwa tukienda direct, sentensi baada ya sentensi and very bold mpaka mkaka anashindwa to control the discussion, tulikuwa hatuachi nafasi ya mkaka to took the control
Ulifanikiwa kuwapata wangapi!
 
Mlikuwa mnakutana na madomo zege bila shaka ama mazingira hayakuwa rafiki kwa faragha.

Unakutana na mtu kapombeka kiasi unamletea hizo pigo anakuinamisha chap au anapima SAE4O ama anakupa mate kwa spidi ya light.
Hamna mwenye huo ujasiri hata kama kichaa.....ukijifanya kufungua kifungo kwa shati lako anahema utadhani unamlisha sumu
 
Mimi enzi zile alijitongozesha mmoja , nikatafuna sana... Kumbe lengo lake ilikuwa Ndoa😠... Nikamtifulia Vumbi la Kasulu!
 
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie

Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu

(HIKI NACHOANDIKA KWENYE MABANO SIO SEHEMU YA MJADALA : ni mwiko kwa mwanamke uliye na ndoa kuchepuka, hamna sababu ya kuhalilsha hilo hata kama mmeo ni mwingi huko njee, shoga endelea...tukikwambia unatuona sisi washamba endelea)
Mwanaume atongozwe na mwanamke hlf ababaike au kujiuma uma, basi huyo siyo Mwanaume kamili
 
Utomboy unaanzaga hvyo hvyo

Kuna binti alikuwa anavaa kiume afu anaenda disco anaanza kutongoza mademu wenzie akawa anafurah kuwaona wanavyotulia kumsikiliza

Nilienda chuo nikawa nasoma na madogo niliowazid miaka kama 10+ sasa kikatokea kibinti kidogo kiumri na kimwili kakanizoea sana kakawa kanakaa na mimi, siku moja kakaniambia kananipenda na brabra kadhaa hadi nilishangaa niliishia kukasapoti tu ila sikukamega
Hapo kwenye "brabra" unamaanisha nini muhishimiwa?
 
Mwanaume ukifikia stage ya kutongozwa (KWA MZAHA) basi ww una shida, haupo sawa.

Wanawake wanajua kabisa fulani sio mtu wa kumfanyia masikhara, fulani ni ndezi ndezi tunaweza mchezea.

Ndio maana kuna watu wanawajua kabisa kwamba dakik mbili mbele kakuvua chupi. Hawaletagi mzaha.
Huo mzaha kweli wanaangalia na watu wa kuwaletea ambao ni mandezi mimi sina tofauti na huyo mdau hapo juu tena muda wote natembea na kondomu ukijilengesha tu natomba na hua siangalii sura cha muhimu papuchi ina utelezi .
 
Back
Top Bottom