Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Asante sana mama upewe uteuzi haraka
 
We ulikuwa unatania, Yani unamtongoza mtu mbele ya watu? Ushawahi kuona wapi? Mbananishe kichochoroni au mualike getto, mpikie supu ya pweza, vaa kanga moja halafu anza kumtongoza🀣🀣🀣
majaribu ya swala kwa simba hakuna cha zaidi ya mauaji
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] sio mimi hebu nitongonzwe na pisi kali niionyeshe nini cha kufanya on the spot [emoji375][emoji375][emoji375]
hahah... utabakia kusema currently i a buss, check with me jioni....ikiwa jioni utasema nina kazi ya kufanya over the night nicheck baadae
 
Mazungumzo yalikuwa hivi
Her; una girlfriend
Me; No
Her; akanitongoza.............
Me; ningetamani Sana kuwa na girlfriend lakini sio wewe.
Her; ......... tangu siku hiyo hajawahi kuntafuta
alikuwa mjinga kuanza kukuliza kama una gfriend, angetakiwa akwambie nakutamani tena hapa sasa....sasa hivi usiogope watu wote ni watu wazima wanafanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…