Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Nyie mlikua mnakutana na wanawake wenzenu ndio maana walikua wana jiumauma au pengine wanaume wa Mombasa wenye tabia za wanaume wa "daslama"
 
tulikuwa tukifanya kama namna yetu ya to relax, nilikuwa namkaba mwanaume sentensi baada ya sentensi mpaka unamwona mapigo ya moyo yanamwenda kasi.
images (20).jpeg

Ulikuwa unatongoza huku unawapima
 
umekuwa muwazi....mkaka lazima akatae muda ule baadae after some days anaanza kukutafuta..plse sikuwa namaanisha naomba urudie yale maneno
Kwa mfano mdada akinitongoza inategemea na mwonekano wake, kama sijavutiwa nae namkataa kijanja, nitakua namkwepa, asipoelewa ndo namwambia straight kuwa sipo interested. Siwezi sex na kila mwanamke ninaemwona Marytina
 
Back
Top Bottom