Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kutongoza ni namna ya kushawishi mtu kuhusu jambo fulani. Kwahiyo hata mwanamke kumtongoza mwanaume si kwa ubaya Kama wengi wanavyo dhani.

Ni jambo la kawaida tu kumweleza mtu hisia zako, na utegemee matokeo mawili ukubaliwe au ukataliwe. Ingawaje sio utamaduni wetu wengi kwa maisha ya watanzania, mwanamke kumtongoza mwanaume.
 
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie

Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu
una nyege wewe sio bure
 
ulikutana na msukuma wa chato
 
Back
Top Bottom