Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Ndio huyo huyo😂Kajuaje ? 😂😂 anajua mpaka navyoongea?
Labda ndio yeye huyo mmoja anaenijua humu 😅
Mpokee tu kwa mikono miwili, anakufahamu vema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio huyo huyo😂Kajuaje ? 😂😂 anajua mpaka navyoongea?
Labda ndio yeye huyo mmoja anaenijua humu 😅
Yaani basi nakifua hicho siongei kitu mie mate yanashindwa kushuka haya pandi kisa wewe na hiyo hair cut yako inanivutia kama 50 cent upo fine kama nini yaani mie sipati picha ukiwa karibu yangu lazima nikose hewa acha tu ukiwa kwenye kagroup discussion ukiwa unaongelea jambo kwa wenzako siwezi kunywa maji kabisa , acha tu aisee yaani hapa saivi nawaza tu umezaliwa mkoa gani maana sio kwa uzuri huo😂 ila watu umejuaje kama natembea?
Eti mwambieNdio huyo huyo😂
Mpokee tu kwa mikono miwili, anakufahamu vema
Umesahau kuutaja uchebeYaani basi nakifua hicho siongei kitu mie mate yanashindwa kushuka haya pandi kisa wewe na hiyo hair cut yako inanivutia kama 50 cent upo fine kama nini yaani mie sipati picha ukiwa karibu yangu lazima nikose hewa acha tu ukiwa kwenye kagroup discussion ukiwa unaongelea jambo kwa wenzako siwezi kunywa maji kabisa , acha tu aisee yaani hapa saivi nawaza tu umezaliwa mkoa gani maana sio kwa uzuri huo
Kama ananifahamu anipigie leo saa 17:35 kabla sijaenda kuchek game ya arsenalNdio huyo huyo😂
Mpokee tu kwa mikono miwili, anakufahamu vema
Kashakusoma, anavunga tu hapaEti mwambie
😂😂😂 sikaziiiUmesahau kuutaja uchebe
Unique Flower haya mpigie kijana aaminiKama ananifahamu anipigie leo saa 17:35 kabla sijaenda kuchek game ya arsenal
Me nakaziaaaaaa😂😂😂 sikaziii
😂 nipo nachuma majani ya miti hapaKashakusoma, anavunga tu hapa
Anaona aibu
Wewe natamani tu nikuone maana nimekushindwa unajua kumpamba hadi raha niniKashakusoma, anavunga tu hapa
Anaona aibu
Mda ukipita asipigeUnique Flower haya mpigie kijana aamini
Nipo kwenye makelele I will call him kesho halafu nitakutag humuUnique Flower haya mpigie kijana aamini
🤣🤣🤣 angalia usiharibu bustani ya watu ohoo😂 nipo nachuma majani ya miti hapa
Mbona hauko romantic we kijanaMda ukipita asipige
Eh kwaniniMda ukipita asipige
UshafeliNipo kwenye makelele I will call him kesho halafu nitakutag humu
🤣😂 ungejua nna bonge la upara usingemuhusisha fifte. Kutongoza ni kipajiYaani basi nakifua hicho siongei kitu mie mate yanashindwa kushuka haya pandi kisa wewe na hiyo hair cut yako inanivutia kama 50 cent upo fine kama nini yaani mie sipati picha ukiwa karibu yangu lazima nikose hewa acha tu ukiwa kwenye kagroup discussion ukiwa unaongelea jambo kwa wenzako siwezi kunywa maji kabisa , acha tu aisee yaani hapa saivi nawaza tu umezaliwa mkoa gani maana sio kwa uzuri huo