Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Jamani kuna huyu kaka yetu huyu Half american walahi baba unanikosha kuanzia muonekano wako, manukato yako , lips wacha wee ndio hiyo sauti balaa aisee dah ! Ukitembea mie hoi na gota gota siwezi simama mie ?mapigo yamoyo yamestop tokea unireply saivi mapigo yapo juu ila hayashuki chini.
😂 ila watu umejuaje kama natembea?
 
Back
Top Bottom