Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Wanawake waojaribu kuwatongoza wanaume unaweza kuta ni dumejike yaani shemales, so wanaume nikuwa makini nao sana, alafu haileti utamu au harara mwanamke kumtongoza mwanaume sbb kwa mila zetu utaitwa au utaonekana malaya uliyepitiliza mstari mwekundu. Mwanaume kama hajapenda ujue uume hausimami so hadi mwanaume akupende akutongoze avutiwe na mwanamke ndio uume husimama kwa nguvu zote then mapenzi yanafanyika, na sio kinyume chake.
 
Kinachotokea hapo ni mazingira kuwa magumu halafu jambo la haraka kabla hata mwanaume hajatafakari kufikia maamuzi, kwa kiasi kikubwa inaweza kuchangia kumfanya mwanaume awe na wasiwasi, hofu, na kutokujiamini.

Hata simba ukimfuata directly na kwa kushtukiza huku ukimkimbiza lazima akimbie kwa hofu. Ataenda mbali na kutafakari hiyo situation huku akiwa hajiamini kabisa.
 
Jaribu kunitongoza Mimi PM tuone
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume..wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma....utajichekea mpaka uzimie


Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si jambo la kushangaza hilo. Na wanaocheka wanakua hawajakomaa kiakili.

Mwanamke akitongoza ni ishara kamili amevutiwa kihisia na wewe. My first love nakumbuka alinitongoza, back then nilikua mtu wa aibu sana. Tulidumu mda mrefu, circumstances za maisha zikatupoteza na sasa ameshaolewa. I wish nothing but the best for her.

Ila nimeshatongozwa mara tatu baada ya hapo. Ni pisi moja tu ndio niliichomolea. Tena kistaarabu tu. Alikua workmate. Pigo zake za kifeminist na kutaka kushindana na wanaume zilikua zinanikata stim. She was completely out of my league.
 
Back
Top Bottom