Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mngoni uliyekulia uchagani ujue wapi kutongoza wanaume?kwa hiyo msiwacheke wadada wanaojiinamia wanapotongozwa
Ulimkatili sn mkuuMazungumzo yalikuwa hivi
Her; una girlfriend
Me; No
Her; akanitongoza.............
Me; ningetamani Sana kuwa na girlfriend lakini sio wewe.
Her; ......... tangu siku hiyo hajawahi kuntafuta
Nakazia hapa. Mimi mwenyewe ninapotongozwa na wanawake nakuwa kwenye hii stateMioyo ilikuwa inawaenda mbio Kwa sababu damu yote ishakimbilia chini[emoji1787]
Hao ukiwaambia nakupenda tu wanaloa, unaamsha upwiru[emoji1787] Angalia usije kubakwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Usiandikie mate wino upo test me right now [emoji1787][emoji375]ungekuwa kama wenzio tu
NAKAZIAsio mtutongoze tu, mtupe pia....
na sisi mtufanyie hit and run, hatutolalamika[emoji16]
Hata Mimi nilihisi hatia baada ya kusema hivoUlimkatili sn mkuu
Manzi akikudondokea kuna picha la kutisha linakuja kichwani,either ana ukimwi au hana akili timamuHome Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga
Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....
Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie
Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu
(HIKI NACHOANDIKA KWENYE MABANO SIO SEHEMU YA MJADALA : ni mwiko kwa mwanamke uliye na ndoa kuchepuka, hamna sababu ya kuhalilsha hilo hata kama mmeo ni mwingi huko njee, shoga endelea...tukikwambia unatuona sisi washamba endelea)
Nisingekubali maana Kwanza ingenipa mashaka Sana hasa ningewaza kuhusu afya Yangu.alikuwa mjinga kuanza kukuliza kama una gfriend, angetakiwa akwambie nakutamani tena hapa sasa....sasa hivi usiogope watu wote ni watu wazima wanafanyaga
Hongereni kwa ujasirisamples were selected randomly.....ila kuna wakaka tulikuwa tunawafungia kazi tunawabananisha mpaka hata kama ni jumanne saa tano atakwambia anawahi kanisani ibada wkt hamna kanisa lenye ibada muda huo
Duuu nilikuwa nishazama pm hapa nakupangia maneno mataam MarytinaNina mume kakulia umasaini hajala vyakula vya kijinga ananitosha
Ni upumbavu kutongozwa na mwanamke halafu ukakataa.Uzoefu wangu, sijawahi tongozwa na mtoto wa kike na nikamkatalia, mie ni maharage ya mbeya, sijui kukataa..
Nimnyime ya nini hili RUNGU KIPEPE litakija kuliwa na nyenyere tu
Hata km hakukuvutia hukupaswa kuwa direct vile, vp hukutia jitihada kusawazisha mambo?Hata Mimi nilihisi hatia baada ya kusema hivo
Nilimpotezea maana alinijaribu kunikwepa sana , hata hivyo nilijifunza kitu , so I took it as a lessonHata km hakukuvutia hukupaswa kuwa direct vile, vp hukutia jitihada kusawazisha mambo?
Sawa ndugu mjumbe,mi5 tena kwako mjumbe, inabidi upite bila kupingwa.Ni upumbavu kutongozwa na mwanamke halafu ukakataa.
Mwanamke akikutongoza unapaswa ukubal bila kumuonesha mashaka ya mtongozo wake.
Mengine yatajulikana baadae.
Kumbe kuna watu huwa wanaangalia watu machoni?brazameni anashindwa kuniangalia machoni.....hahahah dah ilikuwa so funny
Tofautisha kutongoza kwa hisia na kushawishi wa ukahaba,Kuna sehemu wanawake wanatongoza wnaume kama Bongo hasa Dar?. Ni kwamba utongozaji wao sio huu wa maneno. Wanatongoza kwa matendo. Au wewe unadhani kutongoza mpaka aseme kwa mdomo?