LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.
Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.
Siku ukipiga buubaah umpe pia. Yani mtreat kama unavyo watreat watoto wako.
Zamani nilikuwaga kama wewe ndio maana nilikuwaga sina hela kama wewe.
Nilikuwa nasubiri mpaka nipate hela nyingi eti ndio ninampa maza hela.
Ila tangu nilipogundua siri hii na kuanza kuifanyia kazi nimekuwa increased kiuchumi kwa namna ya ajabu sana.
Nimemuweka mama angu kwenye kundi moja na watoto wangu.
Kwa mfano Mimi Kama baba huwaga siwezi kabisa Kula chakula cha kuanzia elfu 7 nje ya nyumbani kwangu bila watoto wangu nao Kula chakula chenye hadhi kama hiyo.
Kama nitapita pale AL URUBA HOTEL kariakoo ( kwa wasomali) halafu nikala supu ya mbuzi( elfu 7) kama nyumbani siku hiyo watakuwa hawajapika walau nyama ya ngombe basi siku hiyo lazima nitapita SHUU BUTCHER au nitaenda MBASHA MEAT SUPLY pale VINGUNGUTI nichukue nyama ya mbuzi kilo 2 niipeleke nyumbani watoto wangu wale. Kwa sababu nitajiona kama vile nimewafanyia dhulma watoto wangu. Sasa hivi nipo hivi hadi kama mama angu. Na tangu nimeanza kuwa hivyo, Mungu ame ongeza rizki yangu kwa viwango vya juu sana.
Hata wewe bado hujachelewa.
Anza leo:
1. Give money to ur mother.
2. Give money to your mother.
3. Give money to your mother.
THANK ME LATER