124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Kumbuka na wewe ulipokuwa chini ya uangalizi wake ulikua na madai mengi na mengine yakiwa nje ya uwezo wake lakini alijitahidi kukutimiziaKuna wamama wengine ukiwadekeza hivyo ndo inakuwa lazima tena atataka umuongezee akiamini unazo nyingi, shukuruni mna wamama waelewa