Kama unataka kufanikiwa kifedha kupitia mama ako basi usisubiri hadi upate hela nyingi. Fanya kama haya

Kama unataka kufanikiwa kifedha kupitia mama ako basi usisubiri hadi upate hela nyingi. Fanya kama haya

Hii njia IPO KIROHO

Ukitoa kwa mama basi riziki itatiririka Sana , upo sahihi mkuu .

NB kutoa anakomaanisha mtoa mada ni katika kuongeza nishati ya riziki hivyo waweza mpatia hata baba yako ndugu zako ,marafiki n.k


So kutoa ni kila kitu.
 
Hii njia IPO KIROHO

Ukitoa kwa mama basi riziki itatiririka Sana , upo sahihi mkuu .

NB kutoa anakomaanisha mtoa mada ni katika kuongeza nishati ya riziki hivyo waweza mpatia hata baba yako ndugu zako ,marafiki n.k


So kutoa ni kila kitu.
Vipi akina mama wachawi nako ukitoa unafanikiwa?
 
Waendelee kupumzika kwa amani wazazi wetu.
Hii mada haituhusu sisi tusiokuwa na wazazi. Ila kama wazazi nao wana uwezo wao je manake kama mimi mama alifariki nikwa drs la saba, baba alifariki nikiwa chuo kikuu mwaka wa 2 ila nakumbuka Baba yangu alikuwa ananiambia soma kwa ajili ya manufaa yako wewe na watoto wako utakaowapata usitegemee utakuja nisaidia au usijilemaze kwa mali zangu sikuwaga nafikiria nasoma ili nije nimsaidie kifedha msure wangu aisee .
All in all maisha ni tofauti na tunatoka background tofautitofauti.
Mwisho vijana tuendeleze struggles za maisha ili Mungu akitubariki tukifika uzeeni tusitegemee kupewa fedha za matumizi na watoto wetu
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Vipi kuhusu Baba yako, au yeye hapswi kupewa mgao?
My father passed away in 2015. Kama baba yako na yeye bado yupo hai basi na yeye unapaswa kumuweka kwenye payroll yako.
 
watoto wa Mama munapenda kujidanganya sana
Mtoto wa mama hawezi kuwa na akili ya kutunza watoto na wazazi kama niliyo nayo Mimi.

My father ( Peace Be Upon Him) passed away in 2015 when I was 30. And ofcourse I learnt this wisdom from him
 
My father passed away in 2015. Kama baba yako na yeye bado yupo hai basi na yeye unapaswa kumuweka kwenye payroll yako.
basi ungetumia neno mzazi, kuna akina mama wengine anatumia hela yako kukuunganisha na imani zake za ushirikina
 
Mtoto wa mama hawezi kuwa na akili ya kutunza watoto na wazazi kama niliyo nayo Mimi.

My father ( Peace Be Upon Him) passed away in 2015 when I was 30. And ofcourse I learnt this wisdom from him
swa mtoto wa mama endelea unavyoamini
 
Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.

Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.

Siku ukipiga buubaah umpe pia. Yani mtreat kama unavyo watreat watoto wako.

Zamani nilikuwaga kama wewe ndio maana nilikuwaga sina hela kama wewe.

Nilikuwa nasubiri mpaka nipate hela nyingi eti ndio ninampa maza hela.

Ila tangu nilipogundua siri hii na kuanza kuifanyia kazi nimekuwa increased kiuchumi kwa namna ya ajabu sana.

Nimemuweka mama angu kwenye kundi moja na watoto wangu.

Kwa mfano Mimi Kama baba huwaga siwezi kabisa Kula chakula cha kuanzia elfu 7 nje ya nyumbani kwangu bila watoto wangu nao Kula chakula chenye hadhi kama hiyo.

Kama nitapita pale AL URUBA HOTEL kariakoo ( kwa wasomali) halafu nikala supu ya mbuzi( elfu 7) kama nyumbani siku hiyo watakuwa hawajapika walau nyama ya ngombe basi siku hiyo lazima nitapita SHUU BUTCHER au nitaenda MBASHA MEAT SUPLY pale VINGUNGUTI nichukue nyama ya mbuzi kilo 2 niipeleke nyumbani watoto wangu wale. Kwa sababu nitajiona kama vile nimewafanyia dhulma watoto wangu. Sasa hivi nipo hivi hadi kama mama angu. Na tangu nimeanza kuwa hivyo, Mungu ame ongeza rizki yangu kwa viwango vya juu sana.



Hata wewe bado hujachelewa.

Anza leo:

1. Give money to ur mother.


2. Give money to your mother.

3. Give money to your mother.

THANK ME LATER
What about your Father? Je, Baba yako hastahili kupata matunzo ila mama yako peke yake?

Wewe ulizaliwa na mama tu bila Baba?
Kama Baba yako alishakufa, well, that is another story, lakini, ushauri wako haukupaswa kuegemea upande mmoja tu wa mzazi wakati kuna watu bado wana wazazi wote wawili.

Kosa kubwa sana mnalolifanya watu wengi ni kudhani au kuamini kuwa baraka zinatoka kwa mama. Hili ni kosa kubwa.

Katika familia mwenye mamlaka ya kutoa baraka kwa watoto wake ni Baba na siyo mama.

Baba ndiye aliyepewa mamlaka ya kumtawala mama na familia nzima, hivyo hata kwenye suala la kutoa baraka ni Baba ndiye aliye mwenye mamlaka hiyo.

Dini zote duniani zina vielelezo hivyo. Baba ndiye mwenye kutoa baraka kwa watoto wake. Sisemi mama adharaulike, hapana, bali ni vyema sana kuwaheshimu wazazi na kuwajali wote kwa usawa pasipo kuwabagua. Hata hivyo ukweli unabakia pale pale, Baba ndiye kichwa cha familia na yeye ndiye mwenye kutoa baraka kwa watoto wake.

MUNGU ndiye aliyempa Baba mamlaka hayo. Sasa Shetani kama kawaida yake kaja na udanganyifu wake hasa hasa kizazi hichi kwa kuwaaminisha watu kuwa mama ana mamlaka kuliko Baba au mama ni muhimu kuliko Baba.

Ni udanganyifu wa Shetani ndiyo maana hata kwenye media utasikia kelele nyingi sana kuwa "hakuna kama mama". Hii imefikia hatua sasa hivi mama anatukuzwa zaidi na wanadamu kuzidi hata MUNGU. Mtu anaposema "hakuna kama mama" ana maanisha hata MUNGU yupo chini ya mama. Huu ni wendawazimu! Kusema, hakuna kama mama, ni kufuru kubwa!!

Wazungu wamefikia hatua ya kuwatukuza mama zao kiasi wanakufuru kwa kusema "God is a woman"!!

Angalia jinsi kanisa katoliki linavyomtukuza bikira maria kuliko MUNGU. This is nonsense!!

Hii ni mbinu ya Shetani na imefanikiwa sana. Shetani anao uwezo wa kuwapa mali na pesa wale anaowapenda. Shetani amewadanganya kuwa baraka zinatoka kwa mama na ninyi mnawatukuza mama zenu na kuwadharau baba zenu halafu mnaona mnafanikiwa kumbe hayo mafanikio mnayopata hayatoki kwa MUNGU bali yanatoka kwa Shetani.

Katika Dini yangu nimefundishwa kuwa Shetani ni mjanja na mwerevu sana! Shetani ana mbinu nyingi na maarifa ya kuwadanganya Wanadamu.

Ushauri wangu wa mwisho kwa kila Mwanaume. Wewe mwanaume ndiyo KICHWA cha familia yako. Baraka za watoto wako zipo mikononi mwako na siyo mikononi mwa mke wako. Wewe mwanaume ndiye mwenye mamlaka halali ya kuwabariki au kuwalaani watoto wako.

Wewe mwanaume hakikisha katika maisha yako umewabariki watoto wako kwa kuwawekea mikono kichwani huku ukiwanenea maneno ya baraka uzitakazo wazipate. Zingatia hilo. Kamwe usikae kinyonge ukidhania baraka zitatoka kwa mke wako. Huo ni udanganyifu wa Shetani.

Mwenye masikio na asikie.
 
Back
Top Bottom