Kama unataka kufanikiwa kifedha kupitia mama ako basi usisubiri hadi upate hela nyingi. Fanya kama haya

Unataka kila mtu awaze. Kama. Wew tatizo watanzania Dini na huruma Hisia mnaweka mbele kuliko mfumo wa utafutaji


Yani upoteze muda uko shule kwenyw course za ajabu afu uje useme ufanikiwe kwa kumtuza mama

Na sio kila business inalipa Kama unavo fikiria unaweza usitunze mtu na ukafanikiwa uchumi ni mipango sio Hisia. Acheni kudanganya vijana wanapata mitaji wanaishia kuhudumia wazaz ambao ujana wao wametumia. Kula pom e na. Kuzaliana. Kumsaidia mzaz ni pale. Unapo weza. Sio lazm kias hicho Kama baraka ukimsaidia hata maskin au homeless utabarikiwa
 
huu ndio ukweli
 
my father passed away in 2015.

Kama baba ako bado yupo hai unapaswa kumtunza pia kama unavyo mtunza mama ako.
 
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Vipi akina mama wachawi nako ukitoa unafanikiwa?


Kwenye money flow - unatoa sehemu ambayo upo motivated haijalishi umempa tajiri wala masikini.


Ndo maana MTU ambaye anatoa kuwapa ombaomba wa barabarani anaweza kupata energy ndogo kufananisha na MTU anayetoa pesa kumsaidia MTU kujikwamua na hali ngumu ya maisha .


MTU Kama ni mchawi hana tatizo unampa ikiwa upo motivated na uchawi hauna energy ya Ku block ways zako za riziki.
 
Katika kutoa anavyosema mtoa mada yupo sahihi


Mtoa mada anavyotoa au kuhudumia familia yake ni sehemu ya responsibility yake Ila anapomsaidia na kumuhudumia mama yake hiyo maana yake anakuwa none benefit so Energy inayotoka kwa mama yake inakuwa kubwa Sana kuipita ile ya familia yake.


So the guy is smart and brilliant
 
Usilolijua ni km usiku wa giza, endelea kutabiri
Mamaza wa mjini wengi wana tabia za namna hiyo... Mama mzazi chochote anachokipata kwa mwanae anafurahi kweli! Kweli! Ukiona otherwise ujue huyo bi.mkubwa wa mjini.

Nna mfano wa bi.mkubwa fulani mwanae alikuwa amefanikiwa sana kimaisha, yuko serikalini ana wadhifa mzito! Sasa bi.mkubwa kidogo na yeye age ilienda, ana wajukuu kibao! Bi.mkubwa hata akipewa buku mbilli dua kama zote kwa mwanae, full mikumbatio na baraka za mate juu! Akisikia mwanae analalamikiwa anakuja juu kumtetea mwanae "Sasa kama hana hela afanye nini?!" na si kweli kwamba hana hela.

Je! Ingekuwa hawa Mamaza wa dunia ya leo na anajua mpaka wadhifa wa mwanae si ni balaa! Kuna Dada nafanya nae kazi, Mama'ake huwa anakuja ofisini. Ukimtazama yule bi.mkubwa tu utajua hapa zamani ilikuwa balaa! Wa mjini kinoma!!
 
Ok
 
How if she is no more
 
my father passed away in 2015.

Kama baba ako bado yupo hai unapaswa kumtunza pia kama unavyo mtunza mama ako.
That is another case, your Father passed away, sorry for that. But, the fact remains that blessings comes from the Father.

Sasa hivi wewe ndiye Baba kwa watoto wako. Utajisikiaje kama watakubagua na kumjali zaidi mama yao (Mke wako) kuliko wewe?

My brother, fahamu kwamba unayo mamlaka kamili ya kuimiliki na kuibariki familia yako. Wewe ndiwe KICHWA cha familia yako. Don't forget that.
 
Kwanini Mama tu....hiv why baba zetu tunawatenga sana, inaweza ikawa tunawapa lakini mpaka waombe. Hii haijakaa sawa kabisa ukizingatia hii ni kama cycle there is a day kuna mtu nae atakua baba na hii itamkuta pia. Wote ni wazazi wanastahili haki sawa kuna mmoja alikuzaa na akakupa mapenzi ya kimama na kuna mmoja pengine hakuoneakana uwepo wake sana lakin alikua anahakikisha upendo unaoona mama yako alikupa basi yeye ndo alikua anaupigania na kuhakikisha vyakula na malazi na nguo havikosekani...lets show equal love tusiwatenge na kama tunavyowapigania kina mama basi tuwapiganie na kina baba. Ukiangalia kiundani familia nyingi kina baba wanawahi kufariki na wengi hufariki cause kubwa ni depression kina mama wanajaza sumu nyingi kwa watoto ili wawaone baba zao hawajali kumbe sivyo...majukumu yanafanya baadhi ya kina baba kuwa mbali na familia, mwengine atauliza je wale walevi na malaya ...nadhani watakao hoji hili sana ni vijana wadogo ambaio bado hawajayajua maisha ila jibu tosha la kuwapa ni ngojeni mkue mkiyaona maisha mtayajua majibu ya maswali hayo.
 
Hijaelewa content yangu. Nimesema " kama unataka kufanikiwa kifedha kupitia mama ako" Msisitizo upo kwenye kupitia mama ako.

Unataka nimtaje baba kwenye Uzi wa mama?

What's up?
 
Kwa sisi ambao wamama zetu wanajiweza adi wamepitiliza unatushauri nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…