124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,813 Reaction score 5,514 Jun 24, 2024 #81 Kapeace said: Kuna wamama wengine ukiwadekeza hivyo ndo inakuwa lazima tena atataka umuongezee akiamini unazo nyingi, shukuruni mna wamama waelewa Click to expand... Kumbuka na wewe ulipokuwa chini ya uangalizi wake ulikua na madai mengi na mengine yakiwa nje ya uwezo wake lakini alijitahidi kukutimizia
Kapeace said: Kuna wamama wengine ukiwadekeza hivyo ndo inakuwa lazima tena atataka umuongezee akiamini unazo nyingi, shukuruni mna wamama waelewa Click to expand... Kumbuka na wewe ulipokuwa chini ya uangalizi wake ulikua na madai mengi na mengine yakiwa nje ya uwezo wake lakini alijitahidi kukutimizia
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Jun 24, 2024 #82 124 Ali said: Kumbuka na wewe ulipokuwa chini ya uangalizi wake ulikua na madai mengi na mengine yakiwa nje ya uwezo wake lakini alijitahidi kukutimizia Click to expand... Ok
124 Ali said: Kumbuka na wewe ulipokuwa chini ya uangalizi wake ulikua na madai mengi na mengine yakiwa nje ya uwezo wake lakini alijitahidi kukutimizia Click to expand... Ok
amadala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,265 Reaction score 12,268 Jun 24, 2024 #83 Balqior said: True definition of selfishness amadala Click to expand... Ungesoma maelezo yote ingeleta maana kubwa kuliko kuchukua kipande hiko peke yake. Maelezo yangu yanaeleweka Sina mtu wa muhimu anaenitegemea ukitoa watoto wangu
Balqior said: True definition of selfishness amadala Click to expand... Ungesoma maelezo yote ingeleta maana kubwa kuliko kuchukua kipande hiko peke yake. Maelezo yangu yanaeleweka Sina mtu wa muhimu anaenitegemea ukitoa watoto wangu