Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.

Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.

HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk

Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.

Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi

Hapa nazungumzia local participants
Uvuvi unategemea ndugu kama unazo boti uvuvi ni deal sana
 
Mtu anaweza akawa polisi akajibana akapata mtaji akafanya biashara akapiga hela...traffic police wanapiga sana hela barabarani humo
Si washakalilishwa hao kua mwalimu hana hela, askari hana hela wenye hela ni wafanyabishara na wafanyakazi wa tra, ndicho kitu kipo akilini mwao.
Si ajabu hata yeye hana ila ndo ivo anajiona anazo kisa sio kada tajwa.
 
Mtoa maada kwa upande wangu kichwa cha habari ni sahihi, sema maelezo yake aliyotoa ndio sio sahihi.

Kwanza ajaweza kutofautisha kufanya kazi kwa kujiajili ama kwa kuajiliwa. Ukiongelea waalimu hao ni waajiliwa na boda boda ni kujiajili.

Sasa kutokana na maelezo yako unaposema kuna kazi za kimasikini ni sawa. Ila kwa upande wa kujiajili naomba niseme kwa Msisitizo HAKUNA KAZI YA KUJIAJILI AMBAYO NI YA KIMASIKINI. HAMNA ALIEJIAJILI UKASEMA ANAFANYA KAZI YA KIMASIKINI.

Mfano wew umetolea mfano wa Boda boda mpaka umenichekesha, kwamba boda ni kazi ya kimasikini? Je wajua boda anaingiza mshahara sawa na msomi wa darasan kabisa. Pengine akazidi kabisa? Usipagawe na nguo nzuri nzuri wanazovaa wasomi hamna kitu huko. Usirubunike na magari na nyumba za mikopo. Hamna kitu hapo.

Kwa upande wangu mim kazi za kimasikini ni za kuajiliwa ambazo hazihitaji elimu ya makaratasi, mfano kubeba zege, kazi za viwandani, n.k ila wauza matunda, boda boda, bajaji, karanga, wauza chips, mama ntilie n.k achana nao kabisa ni MATAJILI WA BAADAE HAO.
 
Mkuu uzi kama huu ukiutoa useme pia wewe ni nani na unamiliki biashara gani kwa tanzania na umeajiri watanzania wangapi, ili kuepusha kuchukua ushauri wa kitajiri kwa maskini kama sisi.
✅✅👏
 
Mtoa mada Huna akili narudia tena kusema Huna akili.. usiiishi kwa mazoea mimi ni boda boda na nina uhakika kabisa hunipati kipato changu cha mwezi wala maisha ninayoishi bro sijui dada.. usikalili pesa ninayoingiza kwa siku ni 50000 kwa wiki ni 350000 na kwa mwezi ni 10400000 we unalipwa bei gan kwa mwezi tuanzie hapo
Hatari sana
 
Mkuu uzi kama huu ukiutoa useme pia wewe ni nani na unamiliki biashara gani kwa tanzania na umeajiri watanzania wangapi, ili kuepusha kuchukua ushauri wa kitajiri kwa maskini kama sisi.
Yeye amesema ni mkurugenzi wa FAO
 
Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.

Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.

HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk

Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.

Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi

Hapa nazungumzia local participants
Hahaaa, Mungu akusamehe
 
Back
Top Bottom