Kuna kitu kimoja ambacho hawa watu inabidi wakielewe vizuri kuhusu the law of echo, what goes around comes around.
Huwezi kwenda nje ukapanda mbegu ya mifadhaiko, umaskini, na machozi kwa wenzako halafu utegemee nyumbani kwako uvune furaha, afya, na mafanikio kwa familia yako. Hata kama hao watoto wako watasoma shule za gharama gani, bado watakuwa wanaishi kwenye nyumba iliyojengwa juu ya laana ya mtu aliyedhulumu haki ya mtu fulani bila hatia.
Dunia ina mfumo wake wa kipekee wa kusawazisha mambo ,na hayo malipo yanapokuja huwa hayachagui nani yamkute.