Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Wakuu kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu pro Max, inaumiza sana sana pale unapoona kuwa kitu unachotaka kufanya ni kizuri kwa Taifa na kwa taasisi husika lakini unakutana na urasimu ambao sio wa ulimwengu huu.
1. kuna kududu mtu anaitwa NEMC
2. Kuna jinamizi linaitwa Mipango Miji (hapa utakutana na vitengo kama vinne na kila mtu hawasiliani na kitengo kingine)
3. Kuna ibilisi anaitwa Kodi ya ardhi, hapa hutaweza kufanya chochote kile bila kufanya mambo yetu yale
4. Kuna sasa mtoa roho mwenyewe sasa anaitwa Building Permit, hapa kibali cha Ujenzi, utachajiwa sio chini ya 10m, kibali tu, yaani karatazi inayoonyesha umekubaliwa kujenga.
5. Kabla ya Ujenzi sasa kuna vile vijini mahaba vidogo vidogo vinaitwa OSHA, FIRE na nduguze akina WCF hawa wote wanataka ulipe pesa na kuna vishetani vingine vingi tu, UTADHANI unajenga Mbingu
TANZANIA WATAKAOENDELEA KUWEKEZA NI MATAJIRI TU, sisi wengine tutaendelea kuwa vibarua wao. I hate it, Wizara ya Ardhi na Mipango Miji nyie ni mashetani.