Kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu

Kuna waungwana walisema hili sana
Ila tatizo kuna ulaji mwingi katika majengo tofauti na hata wakubwa wanalibariki hilo

Yaani akitokea wa kukemea uchafu basi watamlia timing tu mpaka wqmchomoe roho
Kuna urasimu mkubwa sana na mbaya zaidi ni kwamba hawa jamaa hakuna hata mmija anayetumia AKILI. wote wako pale wanafanya kazi kama programmed machines/roborts
 
Kuna uharamia kila mahali
Halafu ukienda hapo majibu ya karaha na kuzungushwq sana utafikiri ofisi za baba zao
Njaa zinawasumbua
Masikini jeuri, huku ana dhiki na ukali juu
 
Ukute sasa anapigiwa simu na Boss wake maelekezo, mbona utacheka. Nilikutana na hicho kituko kipindi fulani pale Kinondoni, jamaa yangu alinituma......walje jamaa buana wanajifanya kufuata sheria na taratibu zote ila hamna kitu pale. wakija wahindi/waarabu au wenye fedha zaidi ndio wanaopewa kipaumbele.
 
Inasikitisha sana
Yaani huwa najiuliza hivi siku wakija kutawala wengine tutabadilika au nao wanasubiri zamu watukomeshe zaidi
Maana sioni afadhali kila sekta
Wamekuwa hawana Utu
Na Dini yao ni hela tu
 
Exactly Ndugu yangu, Jamaa amekubali kushindwa. Serikali inaenda kupoteza mapato makubwa Sana na ajira kisa ukorofi tu
 
Wakuu kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu pro Max, inaumiza sana sana pale unapoona kuwa kitu unachotaka kufanya ni kizuri kwa Taifa na kwa taasisi husika lakini unakutana na urasimu ambao sio wa ulimwengu huu.

1. kuna kududu mtu anaitwa NEMC
2. Kuna jinamizi linaitwa Mipango Miji (hapa utakutana na vitengo kama vinne na kila mtu hawasiliani na kitengo kingine)
3. Kuna ibilisi anaitwa Kodi ya ardhi, hapa hutaweza kufanya chochote kile bila kufanya mambo yetu yale
4. Kuna sasa mtoa roho mwenyewe sasa anaitwa Building Permit, hapa kibali cha Ujenzi, utachajiwa sio chini ya 10m, kibali tu, yaani karatazi inayoonyesha umekubaliwa kujenga.
5. Kabla ya Ujenzi sasa kuna vile vijini mahaba vidogo vidogo vinaitwa OSHA, FIRE na nduguze akina WCF hawa wote wanataka ulipe pesa na kuna vishetani vingine vingi tu, UTADHANI unajenga Mbingu

TANZANIA WATAKAOENDELEA KUWEKEZA NI MATAJIRI TU, sisi wengine tutaendelea kuwa vibarua wao. I hate it, Wizara ya Ardhi na Mipango Miji nyie ni mashetani.
Uzi Mzuri kabisa! Kwanza nikupongeze Mkuu kwa kuonyesha hisia zako kwa namna hii. Lakini kupitia uzi huu ndipo Mwananchi wa kawaida anapotakiwa kujiuliza Kwenye uchaguzi mkuu anatakiwa kumchagua Mtu wa namna gani? Kwa Sababu hapa umegusia vitu vinavyosimamiwa na SERA. Na hizo Sera huandaliwa Kwenye Wizara husika, na hizo ndiyo mizizi ya kubadilisha mwelekeo wa nchi iende vile Wananchi wanataka kulingana na Sera husika. Swali la msingi linakuja hivi ni wananchi wangapi wanaelewa juu ya mambo haya? Au wanajua Mbunge kazi yake ni kujenga barabara? Madarasa ya Shule, kutoa michango? Mungu atusaidie tupone katika hili.
 
Shukrani sana Ndugu yangu, huwa tulio Wengi ni waoga na KAMWE hatuwezi kujiongeza na kusimamia tunachokiamin
 
Kuna wadudu wanaitwa,services levy,leseni za biashara,Kodi ya zuio,witholding tax,fire,ushuru wa taka,Kodi ya jengo kupitia ktk luku,income tax,Kodi ya fremu kwa mwaka,mlinzi,wa duka,wafanyakazi,wewe mwenye duka,je utatoboa mfanyabiashara
Hapo ni hatari, unakua unawafanyia kazi tu.
 
WACHINA wao wanafanyaje au hapa ni nafuu sana kuliko huko kwao, Mbona kama wao wana kuja kasi sana bila kujali yoote hayo?

Unaweza kuta sisis tunaona hayo ni mengi kumbe, ni machache sana ukilinganisha na nchi zingine.
 
Wakuu kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu pro Max, inaumiza sana sana pale unapoona kuwa kitu unachotaka kufanya ni kizuri kwa Taifa na kwa taasisi husika lakini unakutana na urasimu ambao sio wa ulimwengu huu.

1. kuna kududu mtu anaitwa NEMC
2. Kuna jinamizi linaitwa Mipango Miji (hapa utakutana na vitengo kama vinne na kila mtu hawasiliani na kitengo kingine)
3. Kuna ibilisi anaitwa Kodi ya ardhi, hapa hutaweza kufanya chochote kile bila kufanya mambo yetu yale
4. Kuna sasa mtoa roho mwenyewe sasa anaitwa Building Permit, hapa kibali cha Ujenzi, utachajiwa sio chini ya 10m, kibali tu, yaani karatazi inayoonyesha umekubaliwa kujenga.
5. Kabla ya Ujenzi sasa kuna vile vijini mahaba vidogo vidogo vinaitwa OSHA, FIRE na nduguze akina WCF hawa wote wanataka ulipe pesa na kuna vishetani vingine vingi tu, UTADHANI unajenga Mbingu

TANZANIA WATAKAOENDELEA KUWEKEZA NI MATAJIRI TU, sisi wengine tutaendelea kuwa vibarua wao. I hate it, Wizara ya Ardhi na Mipango Miji nyie ni mashetani.
unategemeaje iwe rahisi wakati ni strategy?imagine matajiri au middle class wawe wengi kuliko maskini huu uongozi utadumu?
 
WACHINA wao wanafanyaje au hapa ni nafuu sana kuliko huko kwao, Mbona kama wao wana kuja kasi sana bila kujali yoote hayo?

Unaweza kuta sisis tunaona hayo ni mengi kumbe, ni machache sana ukilinganisha na nchi zingine.
Nimecheka kama mazuri
 
Back
Top Bottom