Kama unataka paa lako liwe imara tumia mbao za mlingoti

Tunaomba na picha ya mti wa mlingoti
 
Ningependa kuufaham huo mlingoti
 
Hebu weka picha ake Watu8

Mbao C ndio mkaratusi...

Huwa zina mafuta fulani ambayo huchefua wadudu kuweza kuitafuna...mafuta ya huu mti pia hutumika kwenye kutengeneza dawa za mafua kama vicks

Na picha ya chini hapa ndio mti wa mkaratusi/mlingoti...

Kumbe ni Eucalyptus, si ndio inatumika pia kujenga majukwaa kwenye ujenzi wa magorofa?
 
Hii niliona Zanzibar bwana, ndio mbao zao kuu wanatumia kuezekea
 
Mbao C ndio mkaratusi...

Huwa zina mafuta fulani ambayo huchefua wadudu kuweza kuitafuna...mafuta ya huu mti pia hutumika kwenye kutengeneza dawa za mafua kama vicks

Na picha ya chini hapa ndio mti wa mkaratusi/mlingoti...

Aah sawa Asante...so hii inapatikana wapi
 
Wewe nenda duka la mbao waambie unataka mbao za milingoti watakupa
Hebu siku ukipata nafasi tupia picha tuone huo mlingoti unafananaje! Mimi ndio nasikia leo hiyo mbao!
 
Samahani, hiyo mbao ya 2x6 inachanwa vipi mpaka inatoa 3x3!? Maana kwa uelewa wangu mdogo ingeweza kutoa 2x3 au nyinginezo lakini sio 3x3.
Mimi sijaona maali ameandika 3×3
 
Mawazo ya kimaskini 🤣🤣
 
Mbao za piner sio nzuri kuezekea,jinsi muda unavyoenda mbao zinaachana na msumari wa bati kiasi kwamba misumari inatoka juu hadi uipigilie tena,na ukiacha maji yakiingia ndo tundu linaongezeka.

Pia hata kutumia kwa dari napo hazifai. Hizo ni za kutengenezea meza za ofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…