Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,327
- 2,041
Hapa sasa ndo madesa yamechanganywa. Mlingoti na mkaratusi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa sasa ndo madesa yamechanganywa. Mlingoti na mkaratusi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Unajua milingoti kwa uelewa wa wengi ni ile miti inayotoka kwenye mikonge/katani?Ni ile miti ya nguzo za umeme. Kule Njombe ndio wanaita milingoti
Tunaomba na picha ya mti wa mlingotiKwenye ujenzi bhna kuna mambo ukikosea utakuja kujilaumu sana baadae.
Hizi mbao mnazoambiwa ni treated ni wizi mtupu,
Mbao za pine pia ni laini sana, mafundi wanazipenda sababu ya urahisi wa kunyoosha.
Ila kama unajielewa tumia mlingoti kwa sababu 2.
1. Utapunguza gharama kubwa sana ya mbao. Mfano, fundi akikwambia nyumba yako inataka mbao 100 za 2x4 na mbao 100 za 2x2, wewe cha kufanya nenda dukani nunua mbao 50 za 2x6 peleka mashineni uchaniwe katikati zitoke 2x3 tayari umepeta mbao 100, hizi kwa kenji ni balaa unakuwa umempita mbali sana kwa uimara na alieweka kenji za pine za 2x6
Kwenye zile za papi 100 unachukua mbao 30 za 2x6 unachana mara 3 zinatoka mbao 90 za 2x2, umemaliza kazi.
Mbao ya mlingoti ya 2x6 inauzwa sh. 8,000 mpaka 9,000 kwa Dar. Ukipiga hesabu hapo utakuwa umeokoa hela nyingi sana.
2. Utaepukana na mbao kuliwa na wadudu!
Mlingoti hauliwi hovyo hovyo na wadudu
NB: Kupaulia mlingoti unahitaji upate fundi kweli kweli na umsimamie kwenye unyooshaji, vinginevyo nyumba inakuwa na vibyongo.
Huo mlingoti ndio huu wa mkonge/Katani?
Sisi yale ya mkonge tunaita bolitiUnajua milingoti kwa uelewa wa wengi ni ile miti inayotoka kwenye mikonge/katani?
Kumbe ni Eucalyptus, si ndio inatumika pia kujenga majukwaa kwenye ujenzi wa magorofa?Mbao C ndio mkaratusi...
Huwa zina mafuta fulani ambayo huchefua wadudu kuweza kuitafuna...mafuta ya huu mti pia hutumika kwenye kutengeneza dawa za mafua kama vicks
![]()
Na picha ya chini hapa ndio mti wa mkaratusi/mlingoti...
![]()
Kumbe ni Eucalyptus, si ndio inatumika pia kujenga majukwaa kwenye ujenzi wa magorofa?
Aah sawa Asante...so hii inapatikana wapiMbao C ndio mkaratusi...
Huwa zina mafuta fulani ambayo huchefua wadudu kuweza kuitafuna...mafuta ya huu mti pia hutumika kwenye kutengeneza dawa za mafua kama vicks
![]()
Na picha ya chini hapa ndio mti wa mkaratusi/mlingoti...
![]()
Yaani hawa mafundi mwisho wao wataumia!!!...Fafanua vizuri basi we jamaa...mi na hasira na mafundi sana
Nyumba za zamani dari lake lina miti minene Inaitwa miti ya Boriti ndio hii ya Mlingoti?Ni ile miti ya nguzo za umeme. Kule Njombe ndio wanaita milingoti
Hebu siku ukipata nafasi tupia picha tuone huo mlingoti unafananaje! Mimi ndio nasikia leo hiyo mbao!Wewe nenda duka la mbao waambie unataka mbao za milingoti watakupa
Ndio hiyo. Pia kama umepata kupita kwenye reli ya zamani, mbao zake zipo kwenye madaraja na sehemu zingine za reli.Nyumba za zamani dari lake lina miti minene Inaitwa miti ya Boriti ndio hii ya Mlingoti?
Mimi sijaona maali ameandika 3×3Samahani, hiyo mbao ya 2x6 inachanwa vipi mpaka inatoa 3x3!? Maana kwa uelewa wangu mdogo ingeweza kutoa 2x3 au nyinginezo lakini sio 3x3.
Mawazo ya kimaskini 🤣🤣Kwenye ujenzi bhna kuna mambo ukikosea utakuja kujilaumu sana baadae.