Kama unataka utajiri kwa nchi maskini, ingia kwenye siasa; Kama unataka kuwa mwanasiasa kwa nchi tajiri, kuwa tajiri kwanza

Null hypothesis hii

Wenyeviti wa vijiji na vitongoji wa Chama na mabalozi wao wana hali mbaya tu kiuchumi

Hii tunaita fallacy generalazation
Sawa, lakini ujue kwamba utajiri ni "relative term", so hao wenyeviti wa vijiji na mitaa unaowaona maskini, huko waliko wao ndo matajiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…