- Thread starter
- #21
Kwa hiyo Barack Obama ni maskini rafiki yangu?!Ukisema ni lazima Obama aliingia state house na utajiri kiasi gani? Au measure yako ya utajiri ni ipi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Barack Obama ni maskini rafiki yangu?!Ukisema ni lazima Obama aliingia state house na utajiri kiasi gani? Au measure yako ya utajiri ni ipi mkuu?
ExactlyMalengo yao nikutafuta utajiri huku kungine wameukosa, wakaona kwenye siasa utajiri wataupata!
Bahati mbaya umezaliwa hapa hapa kwa wasambaaNchi masikini ni 🚮 kabisa. I wish ningezaliwa kwa jamaa yangu putin.
Yeah, ni kweli Mkuu.Kuwa mwanasiasa nayo inakughalimu kiasi fulani...
Sawa, lakini ujue kwamba utajiri ni "relative term", so hao wenyeviti wa vijiji na mitaa unaowaona maskini, huko waliko wao ndo matajiri!Null hypothesis hii
Wenyeviti wa vijiji na vitongoji wa Chama na mabalozi wao wana hali mbaya tu kiuchumi
Hii tunaita fallacy generalazation