Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuli na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo.
Hawa mademu wa Kizaramo wana sifa kuu mbili ambazo mwanaume yeyote anazihitaji, kwanza wanajua mapishi hasa ya nazi na pili kubwa kuliko yote sex kwao ni passion, mapungufu waliyonayo unaweza kuyafanyia kazi na kufurahia maisha kuliko hao wasomi wenu wanaowapa mbususu kwa mgawo kama wa DAWASA na wakirudi kazini nao wamechoka halafu demu linakukazia utadhani lenyewe ni dume pia.
Haya sasa vijana changamkeni na watoto wa kizaramo, mapungufu yao ni nafuu kuliko mateso mnayoyapata kwa kuowa degree badala ya kuowa mwanamke.