Kama unataka wife material kwa maana ya tendo la ndoa basi oweni Wazaramo mtafurahia ndoa zenu

Kama unataka wife material kwa maana ya tendo la ndoa basi oweni Wazaramo mtafurahia ndoa zenu

Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuri na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo.

Hawa mademu wa Kizaramo wana sifa kuu mbili ambazo mwanaume yeyote anazihitaji, kwanza wanajuwa mapishi hasa ya nazi na pili kubwa kuliko yote sex kwao ni passion, mapungufu waliyonayo unaweza kuyafanyia kazi na kufurahia maisha kuliko hao wasomi wenu wanaowapa K kwa mgao kama wa Dawasa na wakirudi kazini nao wamechoka halafu demu linakukazia utadhani lenyewe ni dume pia.

Haya sasa vijana changamkeni na watoto wa kizaramo, mapungufu yao ni nafuu kuliko mateso mnayoyapata kwa kuowa degree badala ya kuowa mwanamke.
Kuoa mzaramo ni kama kuishi na nyuki ndani
 
Na huu mfungo tatu anataka arudi kwao akafagilie makaburi, na sare ya kijora juu....sasa wewe mwambie huna pesa uone Kama huo wali wa nazi utapikiwa na usiku utapewa🤣🤣🤣
Hahahhhaaaaaa nimecheka Kwa sauti nauli kwao mkuranga na Sare haizidi 15000 ampe tu🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
 
Hapa sasa umekosa jibu ukaamua kujipuliwa. Lets go the facts: ndoa za wazaramo zimejaa talaka na kuchepuka nje! Ni nini shida huku unawasifiwa kuwa wanajua mapenzi kwenye ndoa?
Kwenye swala la talaka labda kwakuwa jamii kubwa ya Wazaramo ni waislamu, ndoa za kiislamu talaka inatamkwa tangu siku inapofungwa ndoa.
 
Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo

Sisemi chochote. Ni juu yako kutoa tafsiri yako mwenyewe....😷😷😷🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
Barack Obama
Umri 62
Mke 1
Watoto 2
One of the richest and powerful person in the world
😄😄kupanga ni kuchagua
 
Mfumo wa maisha wa kabila la kizaramo kuthamini tamaduni zao kama unyago , jando na ngoma unawafanya kutokupenda kwenda kuishi mbali na pwani ,mathalani mwanaume wa bara akaoa mwanamke wa kizaramo wakawa wanaishi mkoani atamshawashi mwanaume ajenge karibu karibu Dar au warudi Dar hata kama life huko walipo limewanyookea, kwenye tendo la ndoa Sawa lakini hawana mipango mkubwa ya kimaendeleo .
 
Back
Top Bottom