Kama unataka wife material kwa maana ya tendo la ndoa basi oweni Wazaramo mtafurahia ndoa zenu

Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuri na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo.

Hawa mademu wa Kizaramo wana sifa kuu mbili ambazo mwanaume yeyote anazihitaji, kwanza wanajuwa mapishi hasa ya nazi na pili kubwa kuliko yote sex kwao ni passion, mapungufu waliyonayo unaweza kuyafanyia kazi na kufurahia maisha kuliko hao wasomi wenu wanaowapa K kwa mgao kama wa Dawasa na wakirudi kazini nao wamechoka halafu demu linakukazia utadhani lenyewe ni dume pia.

Haya sasa vijana changamkeni na watoto wa kizaramo, mapungufu yao ni nafuu kuliko mateso mnayoyapata kwa kuowa degree badala ya kuowa mwanamke.
Binti kutoka uzaramoni au ukanda wa pwani anidm.
 
Kama ndio ni sex pekee jiulize swali moja dogo tu. Kwa nini ndoa za wanawake wengi wanaojiita makungwi hazidumu ? Licha ya kwamba ndio wanasifika kwa ufundi kitandani hata kupewa jukumu la kuwafunda mabinti.

Kuwa kungwi ni kazi haina uhusiano na kuidumisha ndoa .

Nadhani ungeangalia kitu kinachoisimamisha ndoa zaidi nini

Then huyu jamaa kaongea kwa kuwakilisha vijana wengi ambao lengo lao kuu la kuoa huwa ni NGO no
So logically the guy is right
 
Nimegoma kukuelewa.Hivi,tulia na utafakari,kama sex isingekuwepo watu wangeoana ili kitokee kitu gani?
kuna watu wanafikisha hadi miaka 50 ndio wanaoa vp miaka yote hiyo walikua hawapati sex 😄😄watoto wadogo(wavulana na wasichana) ndio wanafikiri sex ndio hitaji namba moja la ndoa ila wanaume wanaojitambua wanaelewa mahitaji ya msingi ya kuanzisha taasisi ya ndoa sex sio first and foremost ,kama sex ingekua ndio kigezo namba moja na kwa jinsi sex ilivyo cheap kuipata basi wale wanaojiuza mabarabarani wangeshaolewa wote😆😆
 
Kama mtu mume amefikisha miaka 50 na huku alikuwa anapata sex hapewi jina lingine zaidi ya jizee lihunihuni tu.Kama hakuona umuhimu wa kuoa kwa miaka yote,anakuja kuoa akiwa na miaka 50 ili ajibanze kwenye nini?Aendelee na uhunihuni wake.
 
kuna watu wanafikisha hadi miaka 50 ndio wanaoa vp miaka yote hiyo walikua hawapati sex 😄😄watoto wadogo(wavulana na wasichana) ndio wanafikiri sex ndio hitaji namba moja la ndoa ila wanaume wanaojitambua wanaelewa mahitaji ya msingi ya kuanzisha taasisi ya ndoa sex sio first and foremost ,kama sex ingekua ndio kigezo namba moja na kwa jinsi sex ilivyo cheap kuipata basi wale wanaojiuza mabarabarani wangeshaolewa wote😆😆
Sasa hicho unachoona wewe ndio cha msingi mbona pia kinaweza kufanyika bila kuwa na ndoa?

Chukuwa khanisi uone kama mwanamke atakubali kufunga ndoa, hata ndoa ya kanisani inavunjwa kama mume hawezi kupiga pumbu mke wake, hiyo ipo wazi kwenye canon law za kanisa katoliki.

Asikudanganye mtu yeyote yule, kupiga pumbu ndio ndio first priolity ya ndoa.
 
Kaenda mbali yuko Moro ila taarifa za kwao pwani na Dar anafuatilia masaa 24 , ndugu yake akikohoa basi anakuja kumuangalia eti anaumwa
Na huu mfungo tatu anataka arudi kwao akafagilie makaburi, na sare ya kijora juu....sasa wewe mwambie huna pesa uone Kama huo wali wa nazi utapikiwa na usiku utapewa🤣🤣🤣
 
Sasa hicho unachoona wewe ndio cha msingi mbona pia kinaweza kufanyika bila kuwa na ndoa?

Chukuwa khanisi uone kama mwanamke atakubali kufunga ndoa, hata ndoa ya kanisani inavunjwa kama mume hawezi kupiga pumbu mke wake, hiyo ipo wazi kwenye canon law za kanisa katoliki.

Asikudanganye mtu yeyote yule, kupiga pumbu ndio ndio first priolity ya ndoa.
Na wala hawajatuambia heshima ianze.Ni lazima muwe ngangari kupiga shows kwanza.
 
Wanaume mnatuchanganya mjue......Mara utii, mara tabia, mara dako, mara sex.......hatujui tushike lipi.
 
Na wala hawajatuambia heshima ianze.Ni lazima muwe ngangari kupiga shows kwanza.
Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo

Sisemi chochote. Ni juu yako kutoa tafsiri yako mwenyewe....😷😷😷🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuri na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo.

Hawa mademu wa Kizaramo wana sifa kuu mbili ambazo mwanaume yeyote anazihitaji, kwanza wanajuwa mapishi hasa ya nazi na pili kubwa kuliko yote sex kwao ni passion, mapungufu waliyonayo unaweza kuyafanyia kazi na kufurahia maisha kuliko hao wasomi wenu wanaowapa K kwa mgao kama wa Dawasa na wakirudi kazini nao wamechoka halafu demu linakukazia utadhani lenyewe ni dume pia.

Haya sasa vijana changamkeni na watoto wa kizaramo, mapungufu yao ni nafuu kuliko mateso mnayoyapata kwa kuowa degree badala ya kuowa mwanamke.
Tutakula sex ...asante mkuu 😂😂
 
Unasema "Kama unataka wife material kwa maana ya tendo la ndoa basi oweni Wazaramo"

KAMA TENDO LA NDOA NDIO U WIFE MATERIAL, BASI TUKAOE WALE MALAYA WA KIHAYA KULE KINONDONI.
 
Back
Top Bottom