Kama unataka wife material kwa maana ya tendo la ndoa basi oweni Wazaramo mtafurahia ndoa zenu

😄😄Watu hawaoi kwa ajili ya sex...kuna sababu nyingi za kuanzisha taasisi ya ndoa sex ni kitu kidogo sana manake sex unaweza kuipata popote pale kwamfano ukienda bar yoyote ukiongea vizuri na baamedi unaipata😂😂
Naona umepiga za uso Dr.wetu wa mihogo. Hata hiki kitu kidogo tu hakijui. Inasikitisha acha akina Msukuma wawashambulie wasomi wetu.
 
Dawa ukioa tu unaamia mbali ambapo atakuwa ana ukaribu (physical communication)sana na ndugu zake
Hakuna mzaramo anayekubali kuishi mbali na kwao, do your research 🤣🤣🤣🤣 Bora muachane Ila sio uhamie nae Kigoma🤣
Na ukimkuta huyo anayekubali kuishi mbali ujue kasoma soma, elimu hiyo mnayoamini inawafanya ke kuwa mafeminist🤣
 
Kwa ushirikina hawajambo utashangaa na mkeo unamkimbia moja kwa moja

Wanaume mnakazi
Mke huwezi mkimbia, sema Sasa mda mwingine unakuta hawa wife material wengi hua wanakua bize sana na maisha na watoto mara kuongeza elimu mara cheo kiasi Kwamba 6 kwa 6 sio priority kwao...ila Sasa kwa hzo jamii za pwani wao ndoa ni mdinyo 6 kwa 6 unapewa manjonjo na top up kibao
 
Umesema sahihi mno mtoa mada, hivyo kama wanajukwaa watakubaliana nami tukupe PhD nyingine Kwa utafiti ulioufanya mtoa mada🤗

Ukiwa mpenda sex basi hao watu huna budi kudate nao, hawana hiyana kwenye kukupa hadi utosheke😜
Ila huyo mchepuko hakikisha unampa dawa za uzazi wa mpango, manake akikuzalia kwenye malezi hao ni sufri bin Ziro......utajuta.
 


Inategemea MTU yoyote anaweza kubadilika na kuwa tofauti .
 
😄😄Watu hawaoi kwa ajili ya sex...kuna sababu nyingi za kuanzisha taasisi ya ndoa sex ni kitu kidogo sana manake sex unaweza kuipata popote pale kwamfano ukienda bar yoyote ukiongea vizuri na baamedi unaipata😂😂
Nimegoma kukuelewa.Hivi,tulia na utafakari,kama sex isingekuwepo watu wangeoana ili kitokee kitu gani?
 
Niamini mimi bro.


Mwanamke hata akiwa vipi akipata mwanaume smart anabadilika

Mimi nimekaa uswahilini Temeke nimeona Sana hawa Dada zetu wazaramo huwa wanakuwa wameathirika kisaikolojia tu Ila wakipata smartest man huwa wanabadilika.

Ukijiona uwezo na ufahamu wako sio mzuri utwaogopa wazaramo Ila they are very humble.
 
Kama ndio ni sex pekee jiulize swali moja dogo tu. Kwa nini ndoa za wanawake wengi wanaojiita makungwi hazidumu ? Licha ya kwamba ndio wanasifika kwa ufundi kitandani hata kupewa jukumu la kuwafunda mabinti.
 
Kaenda mbali yuko Moro ila taarifa za kwao pwani na Dar anafuatilia masaa 24 , ndugu yake akikohoa basi anakuja kumuangalia eti anaumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…