Kama unataka wife material kwa maana ya tendo la ndoa basi oweni Wazaramo mtafurahia ndoa zenu

Kuoa mzaramo ni kama kuishi na nyuki ndani
 
Na huu mfungo tatu anataka arudi kwao akafagilie makaburi, na sare ya kijora juu....sasa wewe mwambie huna pesa uone Kama huo wali wa nazi utapikiwa na usiku utapewa🤣🤣🤣
Hahahhhaaaaaa nimecheka Kwa sauti nauli kwao mkuranga na Sare haizidi 15000 ampe tu🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
 
Hapa sasa umekosa jibu ukaamua kujipuliwa. Lets go the facts: ndoa za wazaramo zimejaa talaka na kuchepuka nje! Ni nini shida huku unawasifiwa kuwa wanajua mapenzi kwenye ndoa?
Kwenye swala la talaka labda kwakuwa jamii kubwa ya Wazaramo ni waislamu, ndoa za kiislamu talaka inatamkwa tangu siku inapofungwa ndoa.
 
Barack Obama
Umri 62
Mke 1
Watoto 2
One of the richest and powerful person in the world
😄😄kupanga ni kuchagua
 
Mfumo wa maisha wa kabila la kizaramo kuthamini tamaduni zao kama unyago , jando na ngoma unawafanya kutokupenda kwenda kuishi mbali na pwani ,mathalani mwanaume wa bara akaoa mwanamke wa kizaramo wakawa wanaishi mkoani atamshawashi mwanaume ajenge karibu karibu Dar au warudi Dar hata kama life huko walipo limewanyookea, kwenye tendo la ndoa Sawa lakini hawana mipango mkubwa ya kimaendeleo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…