Kama unaumia ukiombwa pesa na Mpenzi wako akiwa na shida, Je, utafurahia akisaidiwa na 'baharia' mwingine?

Bebi anataka kubadilisha simu aliyonayo kaichoka, anataka Simu nyingine.
Huo mkwamo gani ? au kutiana jazba tu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†

Yeye kama kuna sehemu atataka apeleke K yake, yeye apele tu☹️ cha msingi arudi nayo.
Btw ikimpendeza Bebi kupeleka K yake mahali huwezi kumzuia.

Bebi mcha Mungu (kweli kweli) atakulinda. Maana kila jambo lake atalikabidhi kwa muumba. Hiyo ndio salama yako.
 
Na ambao wanatimiza wajibu huo wa kuudumia na mwanamke akihisi umekunywa ata bia anakuletea matatizo tunakaabkundi gani
 
Swali chonnganishi bhana
Sisi UWABATA unatutesa tuanze kuwa wazia wapenzi wetu maana tumewabahili kama nini ila tunaenda nao tu kibabe
Sasa unapoleta swali kama hilo unaanza kutufanya kuwaza tumegongewa mara ngap na MABAHARIA
Kabisa mkuu Ukizingatia Chama Chetu kimeshindwa Kusajiliwa kwa ukosefu wa Buku Shing Tano tuu.
 
Na nyie nawashauri muwe mnaomba kwa mwanaume mmoja na sio kufanya udangaji yan kila mwanaume unamuomba hela...Ukiona unanyimwa pia ujitafakari ...
 
Akili kubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ubahili noma
 
Sijambo mimi kaka
Utamu tunapata wote hatukatai lakini mwanaume unatakiwa ujue wajibu wako basi sio mpaka ifikie hatua ya kuombwa

Unajua una mtu ana mahitaji yake muhudumie isifikie uko kwenye kuombana
Mkiacha kutanga tanga ..mtahudumiwa haiwezekani mwanamke mmoja ahudumiwe na wanaume kumi huo ni ukahaba
 
Mara nyingi ukishakuwa mtu mzima na siyo mwanafunzi ni ngumu kumwomba mzazi pesa za matumizi ya kawaida.

Wazazi ukimaliza shule na wao wanajitoa rasmi.
Ndio maana mmesomeshwa ili mtafute kazi mjisimamie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we badala kutafta kazi unatafta bwana ili umuombe hela!?
 
Yeah, unamtumia vocha ili ampigie danga kuuliza alipo ampelekee mbunye [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa wadangaji washenzi mnoo ...mwanamke niwakupewa service tuu hakuna kushika hela ...akitaka nauli apande ubber akishuka ntalipa ...,

Note: Asije akiwa p ...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa wadangaji washenzi mnoo ...mwanamke niwakupewa service tuu hakuna kushika hela ...akitaka nauli apande ubber akishuka ntalipa ...,

Note: Asije akiwa p ...
Hahahah tatizo sio maaminifu haya makitu! Ukijua upo mwenyewe kumbe kawapanga mko 6!
 
Mara nyingi ukishakuwa mtu mzima na siyo mwanafunzi ni ngumu kumwomba mzazi pesa za matumizi ya kawaida.

Wazazi ukimaliza shule na wao wanajitoa rasmi.
Sio kweli mkuu wanawake mara nyingi still wanakua under parental controls & care mpaka wakiolewa Tatizo ni tamaa zao na ukahaba tuu
 
Akili kubwa
Mkuu hawa viumbe ukiwaendekeza unalost mazima, kama hatuishi nao. Bora tuwekane wazi ngono kwa pesa ila sio kuigiza maisha ya ndoa huku kila mtu ana hamsini zake.

Wanatakaa huduma zetu huku sisi hatupati huduma zao, unakuta mtu unajitengea maji ya kuoga, unajipikia, unajisafishia mazingira yako halafu anataka uwajibike juu ya maisha yake.

Na kamwe tusijaribu kuwashirikisha majukum yetu pindi hatuishi nao, akija unamchukulia mgeni kama wageni wengine usitake akupikiee au akufulie wala akusaidie kazi zaidi awajibike kwa bed tuu maan nauli ni lazima utaisimamia hata akitumia yake mlipe mmalizane ki hivyo

mengine yabaki kwa kupenda mwenyewe shida zao zote zinahitaji hela na hata akisema hajala muite aje kula kuhusu saloon na mavazi au urembo urembo mwingine tuwahudumie wake zetu tuu.

Ila kuna wenye akili ambao wanaelewa dharula na shida za hapa na pale, hao hata kwa kukopa kama sina nitafanya hivyo maana nae anaelewa siku huna kitu anasimamia show.
 
Sure mkuu kuna wachache Wana upeo kidogo Kwenye kufanya majukumu yao kwa mwanaume ...The rest ni wanatumia jinsia yao kwa kutafuta pesa kwa nguvu ...Yan ukikutana na demu ana damu ya kikahaba ..utamgundua mapema tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…