Mkuu hawa viumbe ukiwaendekeza unalost mazima, kama hatuishi nao. Bora tuwekane wazi ngono kwa pesa ila sio kuigiza maisha ya ndoa huku kila mtu ana hamsini zake.
Wanatakaa huduma zetu huku sisi hatupati huduma zao, unakuta mtu unajitengea maji ya kuoga, unajipikia, unajisafishia mazingira yako halafu anataka uwajibike juu ya maisha yake.
Na kamwe tusijaribu kuwashirikisha majukum yetu pindi hatuishi nao, akija unamchukulia mgeni kama wageni wengine usitake akupikiee au akufulie wala akusaidie kazi zaidi awajibike kwa bed tuu maan nauli ni lazima utaisimamia hata akitumia yake mlipe mmalizane ki hivyo
mengine yabaki kwa kupenda mwenyewe shida zao zote zinahitaji hela na hata akisema hajala muite aje kula kuhusu saloon na mavazi au urembo urembo mwingine tuwahudumie wake zetu tuu.
Ila kuna wenye akili ambao wanaelewa dharula na shida za hapa na pale, hao hata kwa kukopa kama sina nitafanya hivyo maana nae anaelewa siku huna kitu anasimamia show.