Kama unaweza kuchinja ng'ombe, ng'uruwe wewe ni katili kupindukia

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Wewe unaweza kabisa kumkata binadamu mwenzako kichwa, ukiona ng'ombe anachinjwa hofu anayokuwa nayo unamuona anatetemeka kabisa lakini wewe unaendelea kushusha panga, that's why nikachagua kuwa vegetarian by choice, wewe upo kundi Moja nawatekaji tu Yani hushindwi kabisa kumkata binadamu mwenzako shingo.

Binadamu ni kundi katili zaidi.
 
kwahiyo mkuu ulitaka wawe wanachinjwa kwa mashine,vipi wale wa kwenye vitabu vya neno la Mungu tunaoambiwa kuwa walikuwa wakichinja ili kutoa sadaka na hili ukumbuke lilikuwa ni agizo lake Mungu mwenyewe,au wewe unataka kutuambia kuwa una huruma kuliko Mungu mwenyewe...
 
Wewe ni vegetarian? Yaani unang'oa viumbe hai kwenye ardhi unavitafuna bila huruma?
 
kwahiyo mkuu ulitaka wawe wanachinjwa kwa mashine,vipi wale wa kwenye vitabu vya neno la Mungu tunaoambiwa kuwa walikuwa wakichinja ili kutoa sadaka na hili ukumbuke lilikuwa ni agizo lake Mungu mwenyewe,au wewe unataka kutuambia kuwa una huruma kuliko Mungu mwenyewe...
Nyie ni makatili tu
 
Machinjio za kisasa ndio wanavyofanya siku hizi wanamdunga kitu Kama risasi kichwani (Stunning) Kisha ndio kisu kinapita
 
Wewe unaweza kabisa kumkata binadamu mwenzako kichwa, ukiona ng'ombe anachinjwa hofu anayokuwa nayo unamuona anatetemeka kabisa lakini wewe unaendelea kushusha panga, that's why nikachagua kuwa vegetarian by choice, wewe upo kundi Moja nawatekaji tu Yani hushindwi kabisa kumkata binadamu mwenzako shingo.

Binadamu ni kundi katili zaidi.

Kuku Je? Njiwa?
 
mtu wa aina hiyo usije jichanganya ukajaa kwenye 18 zake tena akiwa ameshika zana ya kazi aliyoizoea ni hatari sana sana
Sahihi kabisa, kuna miaka ya nyuma machinjio ya mwanza walikuwa wanachinjana sana bila huruma, mtu akitaniwa hata kuhusu mpira ana mind ni panga shwaaa!! Mpaka walipoweka sheria kali machinjioni!
 
Back
Top Bottom