Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,046
- 4,447
Kama ndio hivyo, basi mlaji ndio katili mkubwa.Wewe unaweza kabisa kumkata binadamu mwenzako kichwa, ukiona ng'ombe anachinjwa hofu anayokuwa nayo unamuona anatetemeka kabisa lakini wewe unaendelea kushusha panga, that's why nikachagua kuwa vegetarian by choice, wewe upo kundi Moja nawatekaji tu Yani hushindwi kabisa kumkata binadamu mwenzako shingo.
Binadamu ni kundi katili zaidi.