Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
kwahiyo mkuu ulitaka wawe wanachinjwa kwa mashine,vipi wale wa kwenye vitabu vya neno la Mungu tunaoambiwa kuwa walikuwa wakichinja ili kutoa sadaka na hili ukumbuke lilikuwa ni agizo lake Mungu mwenyewe,au wewe unataka kutuambia kuwa una huruma kuliko Mungu mwenyewe...Wewe unaweza kabisa kumkata binadamu mwenzako kichwa, ukiona ng'ombe anachinjwa hofu anayokuwa nayo unamuona anatetemeka kabisa lakini wewe unaendelea kushusha panga, that's why nikachagua kuwa vegetarian by choice, wewe upo kundi Moja nawatekaji tu Yani hushindwi kabisa kumkata binadamu mwenzako shingo.
Binadamu ni kundi katili zaidi.
Nyie ni makatili tukwahiyo mkuu ulitaka wawe wanachinjwa kwa mashine,vipi wale wa kwenye vitabu vya neno la Mungu tunaoambiwa kuwa walikuwa wakichinja ili kutoa sadaka na hili ukumbuke lilikuwa ni agizo lake Mungu mwenyewe,au wewe unataka kutuambia kuwa una huruma kuliko Mungu mwenyewe...
Havina maumivu Wala hawaoneshi sense ya huruma, hawatoi damuWewe ni vegetarian? Yaani unang'oa viumbe hai kwenye ardhi unavitafuna bila huruma?
Anang’oa mchicha uliostawi bila huruma🥲Wewe ni vegetarian? Yaani unang'oa viumbe hai kwenye ardhi unavitafuna bila huruma?
Machinjio za kisasa ndio wanavyofanya siku hizi wanamdunga kitu Kama risasi kichwani (Stunning) Kisha ndio kisu kinapitakwahiyo mkuu ulitaka wawe wanachinjwa kwa mashine,vipi wale wa kwenye vitabu vya neno la Mungu tunaoambiwa kuwa walikuwa wakichinja ili kutoa sadaka na hili ukumbuke lilikuwa ni agizo lake Mungu mwenyewe,au wewe unataka kutuambia kuwa una huruma kuliko Mungu mwenyewe...
Nani kakudanganya? Mimea ni viumbe hai na vinajiprotect against enemies kama viumbe hai vingine. Ni ukatili sana kuvitafuna michuzi yao na majimaji bila huruma.Havina maumivu Wala hawaoneshi sense ya huruma, hawatoi damu
Si ndio. Anakata kata anauchemsha,dah.Anang’oa mchicha uliostawi bila huruma🥲
Wewe unaweza kabisa kumkata binadamu mwenzako kichwa, ukiona ng'ombe anachinjwa hofu anayokuwa nayo unamuona anatetemeka kabisa lakini wewe unaendelea kushusha panga, that's why nikachagua kuwa vegetarian by choice, wewe upo kundi Moja nawatekaji tu Yani hushindwi kabisa kumkata binadamu mwenzako shingo.
Binadamu ni kundi katili zaidi.
Sahihi kabisa, kuna miaka ya nyuma machinjio ya mwanza walikuwa wanachinjana sana bila huruma, mtu akitaniwa hata kuhusu mpira ana mind ni panga shwaaa!! Mpaka walipoweka sheria kali machinjioni!mtu wa aina hiyo usije jichanganya ukajaa kwenye 18 zake tena akiwa ameshika zana ya kazi aliyoizoea ni hatari sana sana
Wauaji hawa makatilimtu wa aina hiyo usije jichanganya ukajaa kwenye 18 zake tena akiwa ameshika zana ya kazi aliyoizoea ni hatari sana sana
embu tupe mbada ni ipi ilikuwa njia sahihi kwenye kuchinja kabla ya hii technology haijawa advance maeneo ya machinjioni ili kupata kitoweoWauaji hawa makatili