Kama unaweza kuchinja ng'ombe, ng'uruwe wewe ni katili kupindukia

Kama ndio hivyo, basi mlaji ndio katili mkubwa.
 
Zamani tukiwa wadogo kutoka nyumbani njia shortcut ya kwenda kutoka barabara ni ulikuwa unapitia machinjioni.
Mama akifika Lile eneo anatuharakisha kimbieni anawaogopa wale wababa waliokaa kwenye viambaza mle ndani.hata kuwa angalia hataki

Anasema wanaweza kukuchinja wale😄
 
Ndio ivyo, nimeona Arusha Kuna bodaboda kachinjwa kichwa unadhani mtu ambaye hajawai kuchinja ng'ombe anaweza kufanya ivyo?
 
Kabisa. Mimi nitakuja kuacha kula nyama jumla. Tunafanya ukatili mkubwa sana kuchinja wanyama kwa njaa zetu.
 
Kabisa. Mimi nitakuja kuacha kula nyama jumla. Tunafanya ukatili mkubwa sana kuchinja wanyama kwa njaa zetu.
kama Muumba alibariki sidhani kama kuna shida sema shida huja kwenye namna ya uchinjaji mana huwa kuna hatua inakiukwa ya kukiomba ridhaa kwa aliyekiumba na kwake mwenyewe na iyo hatua huwa inatiaga simanzi sana mana huwa wanaelewa na wengine mpaka kufikia hatua ya kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…