Kama ungepata nafasi ya kuzaliwa mara ya pili ila uwe mnyama! ungechagua kuwa Mnyama gani!???

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Mimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
 
hii nayo mada! pengine sijakuelewa unaweza kuwa na hoja nzuri tu lakini utetezi wako haujakidhi. ngoja nitunze akiba wanajamvi walonge yao kwanza
 
Nisingependa nichague mimi
Km ambavo sikuchaguwa kuwa binadam nimejikuta tu humu
 
Hebu muacheni mtoa mada,msipende kila mtu afikiri kama ninyi mnavyofikiri.
Mada nyingine tunacheka tu na kutoa stress,kama hii.

Binafsi nakubaliana na jamaa,na kama ningepata nafasi hiyo ningechagua kuwa ndege tena Tausi.
Najua ningeishi vizuri tena sehemu za kifahari,nisingechinjwa ila ningefanywa kama pambo la thamani.
 
Ukisikia dishi kuyumba, ndo huku sasa,,,,,,,,,,,binadamu uliye sawa, kwa nini kujifananisha na mnyama (hayawani),,,,,,,,,wewe ni wa thamani mno,,,,,hakuna kiumbe sawa na mwanadam.........
Kweli aisee!Huyu kama sio kichaa basi mwehu na kama sio mwehu basi hayawani!
 
najua ni utani lakini mimi ningeomba
nizaliwe tena mimi
hakuna kikubwa zaidi ya mimi
labda kua mimi ni zaidi ya kila kikubwa
kama haitafaa tena kua mimi basi kuliko kua chochote kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…