mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,252
jechaMimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jechaMimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
Mimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
Upo sahihi mkuu! Siku nzima watu wanajadili vitu vyakuumiza vichwa,SI vibaya kurefresh kidogo mind zetu, kabla usingizi haujaja.Hebu muacheni mtoa mada,msipende kila mtu afikiri kama ninyi mnavyofikiri.
Mada nyingine tunacheka tu na kutoa stress,kama hii.
Binafsi nakubaliana na jamaa,na kama ningepata nafasi hiyo ningechagua kuwa ndege tena Tausi.
Najua ningeishi vizuri tena sehemu za kifahari,nisingechinjwa ila ningefanywa kama pambo la thamani.
😉😉😉😉Hahahahaaaaaaaa! You made my day Mkuu! Japo Ni jokes but nimekuelewa sana
Psychologically you seem to be unamaisha ya kawaida sanaa alafuu sura yako na umbo lako pia ni waka wai da kinyume na avatar yakoHebu muacheni mtoa mada,msipende kila mtu afikiri kama ninyi mnavyofikiri.
Mada nyingine tunacheka tu na kutoa stress,kama hii.
Binafsi nakubaliana na jamaa,na kama ningepata nafasi hiyo ningechagua kuwa ndege tena Tausi.
Najua ningeishi vizuri tena sehemu za kifahari,nisingechinjwa ila ningefanywa kama pambo la thamani.
Hapo umemaliza I have nothing to add!Ungekua zako majini tu, inaonekana hupendi matatizo na mtu!
Hahaha panya sio ishu, anakua hajapikwa aisee. Ningekua nyau wa kishuaHahahaa! Nlidhani kukamata Panya!
Sipendi nadharia ya kutamani kuwa mnyama, mi ni binadamu and that will never come otherwise, huku ni kupoteza muda, vipo vitu vingine vya kushare not this gosspingMimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?