Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sir j una akili..... Tuishie hapa kwa leo tubakishe la kesho tenaUkisikia dishi kuyumba, ndo huku sasa,,,,,,,,,,,binadamu uliye sawa, kwa nini kujifananisha na mnyama (hayawani),,,,,,,,,wewe ni wa thamani mno,,,,,hakuna kiumbe sawa na mwanadam.........
Aisehhh akili zako zinakutosha wewe mwenyewe, ni mboga za nazi tu zinakufanya utake kuwa NYAU .... Mbona unaweza Mwambia wife awe anakupikia home daily unakula taratibu bila kukimbizwa na kingi kwa saizi yako mkuu huyo ehh au mboga nazi kwako ni adimu sana kuipata.......naona kuna nati imelegea kichwani sio bureMi ningechagua kuwa 'nyau' niwe naiba mboga zilizoungwa nazi
Me niko bankok manUsingekua unaishi Africa mkuu! Ungekua zako Manchi ya watu
Aaaah wapi! Na siku hizi wadau wanavyopenda Nyama ya Mbuzi! Nani anataka matatizo!?
Usipanic mkuu, mi nimechangia kama mada ilivyo. Sasa kuna paka mwenye mke? Mbona unachukulia serious wkt ni topic ya kujifurahisha tu.Aisehhh akili zako zinakutosha wewe mwenyewe, ni mboga za nazi tu zinakufanya utake kuwa NYAU .... Mbona unaweza Mwambia wife awe anakupikia home daily unakula taratibu bila kukimbizwa na kingi kwa saizi yako mkuu huyo ehh au mboga nazi kwako ni adimu sana kuipata.......naona kuna nati imelegea kichwani sio bure
Hafu ukiishi ushuani sikukuu ikifika sijui ungekua unajificha wapi usiliwe! Huku wanakwambia Jogoo wa Masikini anachinjwa mpaka aumwe mfugaji au aumwe Jogoo mwenyewe!Ningechagua kuzaliwaa JOGOO ningekuwa nakimbiza mpaka nakamata ...kuku jike mbona wangepata kazii
ningechagua kuwa tai ili siku mzoga wako (tausi) ukitupwa niufaidi..Hebu muacheni mtoa mada,msipende kila mtu afikiri kama ninyi mnavyofikiri.
Mada nyingine tunacheka tu na kutoa stress,kama hii.
Binafsi nakubaliana na jamaa,na kama ningepata nafasi hiyo ningechagua kuwa ndege tena Tausi.
Najua ningeishi vizuri tena sehemu za kifahari,nisingechinjwa ila ningefanywa kama pambo la thamani.