Kama ungepata nafasi ya kuzaliwa mara ya pili ila uwe mnyama! ungechagua kuwa Mnyama gani!???

Upo sahihi mkuu! Siku nzima watu wanajadili vitu vyakuumiza vichwa,SI vibaya kurefresh kidogo mind zetu, kabla usingizi haujaja.

Ungekua Tausi hapa Bongo ungekua unaishi Ikulu huku ukilindwa Mkuu!
 
Wewe ungetaka uwe .... mbuzi wewe una
zuga tu hapa! Si useme tu.. ...
Aaaah wapi! Na siku hizi wadau wanavyopenda Nyama ya Mbuzi! Nani anataka matatizo!?
 
Reactions: bdo
Psychologically you seem to be unamaisha ya kawaida sanaa alafuu sura yako na umbo lako pia ni waka wai da kinyume na avatar yako
 
Mimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
Sipendi nadharia ya kutamani kuwa mnyama, mi ni binadamu and that will never come otherwise, huku ni kupoteza muda, vipo vitu vingine vya kushare not this gossping
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…