Kama ungepata nafasi ya kuzaliwa mara ya pili ila uwe mnyama! ungechagua kuwa Mnyama gani!???

Hahaha panya sio ishu, anakua hajapikwa aisee. Ningekua nyau wa kishua
Ungekua Nyau ushuani hafu unapewa ofa ya kuwa binadamu ila masharti lazima ukaishi Manzese Uswazi! Ungekubari??
 
Mi ningetaka kuzaliwa kama binadamu kwasababu hata binadamu ni mnyama,ila mtoa mada ningependa uje kuwa punda ili nikubebeshe Hii mada maana ni nzito sana
 
Ukisikia dishi kuyumba, ndo huku sasa,,,,,,,,,,,binadamu uliye sawa, kwa nini kujifananisha na mnyama (hayawani),,,,,,,,,wewe ni wa thamani mno,,,,,hakuna kiumbe sawa na mwanadam.........
Sir j una akili..... Tuishie hapa kwa leo tubakishe la kesho tena
 
Si mwajua sungura ni mjinga sana ni ngependa kuwa yeye kama ninge zaliwa second time
 
Mi ningechagua kuwa 'nyau' niwe naiba mboga zilizoungwa nazi
Aisehhh akili zako zinakutosha wewe mwenyewe, ni mboga za nazi tu zinakufanya utake kuwa NYAU .... Mbona unaweza Mwambia wife awe anakupikia home daily unakula taratibu bila kukimbizwa na kingi kwa saizi yako mkuu huyo ehh au mboga nazi kwako ni adimu sana kuipata.......naona kuna nati imelegea kichwani sio bure
 
Aaaah wapi! Na siku hizi wadau wanavyopenda Nyama ya Mbuzi! Nani anataka matatizo!?

Bora umeona mbali.......
Mbuzi kwa tabia mkuu, hujamchunguza..
hasa ile Tizama yake... kama hakuoni.au hakuelewi na kumfuga yule yataka moyo.
 
Usipanic mkuu, mi nimechangia kama mada ilivyo. Sasa kuna paka mwenye mke? Mbona unachukulia serious wkt ni topic ya kujifurahisha tu.
 
Ningechagua kuzaliwaa JOGOO ningekuwa nakimbiza mpaka nakamata ...kuku jike mbona wangepata kazii
Hafu ukiishi ushuani sikukuu ikifika sijui ungekua unajificha wapi usiliwe! Huku wanakwambia Jogoo wa Masikini anachinjwa mpaka aumwe mfugaji au aumwe Jogoo mwenyewe!
 
Usipanic mkuu, mi nimechangia kama mada ilivyo. Sasa kuna paka mwenye mke? Mbona unachukulia serious wkt ni topic ya kujifurahisha tu.
Haswaaaa! Tunajifurahisha Tu!
 
ningechagua kuwa tai ili siku mzoga wako (tausi) ukitupwa niufaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…