Kama uongozi wa Simba utamwamini kocha Fadlu David. Leo leo lazima Tutapigwa na APR na kocha atakuja na Maneno ya matumaini tu

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu.

Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0.

Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
 
Apr sio Tim ndogo kwa Sasa kuwafunga haitakuwa ajabu Cha msingi jiandaeni
Halafu mbona wenzako wote wako poa tu na wanajua team inajengwa vumilieni
 
Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu.

Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0.

Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
Ni vipi ikitokea Simba ikashinda na kutandaza soka safi bila kuongea nao, sisi kama mashabiki tukufanye nini mtoa MADA?!
 
Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu.

Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0.

Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
Yaani mpaka hili bonanza mnakuwa na presha nalo........
 
Ach
Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu.

Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0.

Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
A negativities zako.
 
Vp shekhe yahaya

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji867]
 
Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu.

Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0.

Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
Aibu yako hii na utopolo wako kila siku unaiombea mabaya Simba.
 
Back
Top Bottom