Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

muuaji atajilaumu... maana polisi wana njia zao za kisayansi(sayansi ya afrika Mshana Jr)


hapo probably kama katibu kauwawa ni kwa sababu??

1.maybe kuna siri nzito iliyokua nayo iliokua inahatarisha usalama wa church
2.maybe kuna siri nzito aliyo kua nayo either mama mchungaji au baba mama mchungaji? maybe???

mi nahisi hivo.... but muuaji ana Bahati mbaya polisi hawaamini UCHAWI ila wana sayansi yao 🙄 kwenye matukio kama haya
 
 
Inafikirisha sana!,Kwa wenye I.Q kubwa"Inaama huyo marehemu alimpenda sana Monica kiasi kwamba angependa kuishi na mke wa bosi wake?nasi kumla tena Kwa sirisiri that mean alipenda kuishi nae,(hapa mhh...)mpaka hakuona faida ya kuishi bila yeye angali anamke wake!
 
Njia gani katumia kujiua? maana taarifa hazifafanui kajiua kwa njia ipi.
 
sasa jambo la msingi kwenye suala hili ni kwa wale wote wenye taarifa sahihi au viashiria vya kutendeka kwa kosa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kama kuna watu au mtu walio husika kutekeleza mauaji hayo wachukuliwe sheria.
 
Masanja angeamua kumuua huyo katibu asingezunguka sana kama mnavodhani, kuua ni ngumu ila pia rahisi tu .
Wauaji walimkosakosa masanja wakaua katibu na kumchafua Imma, kuna jambo katibu na masanja walikosea mahali.
Masanja anajua.
 
Kwa jinsi Masanja alivyokuwa anampamba mkewe hadharani,mara atake kuongeza mahari kwa wakwe kisa wamempatia mke bora mara vile.

Jamaa anahitaji msaada wa kisaikolojia na kiroho!
 
Ukitumia akili vzuri lazma unotice jambo kuna mengi nyuma ya pazia
 
Masanja angeamua kumuua huyo katibu asingezunguka sana kama mnavodhani, kuua ni ngumu ila pia rahisi tu .
Wauaji walimkosakosa masanja wakaua katibu na kumchafua Imma, kuna jambo katibu na masanja walikosea mahali.
Masanja anajua.
Hata mim nakubali masanja asingeua kishamba hivyo. Ila kwa sababu hili Jambo linauaiaha uhai wa mtu ni muhimu polisi watoe maekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…