Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Status
Not open for further replies.
Omba Mungu wako usije kupata ugonjwa wa Bawasiri daktari ni lazima avae gloves ulale kitandani aingize vidole ili apate uhakika utapona kwa dawa au ni lazima ufanyiwe oparesheni.

Humu inaonekana wengi bado hamjaishi muda mrefu hapa duniani na kushuhudia majanga, kuna mtu yupo tayari akatwe hata uume kama ndio itakuwa tiba ya kumponya. Furahisheni baraza tu.
 
Kama huwezi kumsikiliza mwana wa mfalume basi hama kwenye mkoa wake.

Karibu huku Mwanjelwa viwanja kibao na mashamba.
Huku hakuna mambo ya kutiana madole kwa lazima
 
Poleni sana wanaume wa

Watoto wa kusingiziwa mpo na mnaadabishwa na mtu ambae ana uwezo ata kudunga mimba

Pia upimaji wa tezi dume nyinyi tena kilazima mnafanyiwa cheakup ya tako kwa bashasha duu

Makonda kawazalau sana uwezo

Yaaani anajifananisha yeye na nyinyi poleni sana mtakao kubali
 
Kuna madoctor wana vidole kama mguu wa mtoto, akipima ni full kufumua malinda.
 
wakisha ingiza kidole kwenye exoz wanachokonoa kutafuta goroli ya tezi dume inakuwa kwa chini Ni kama g sport HV uchukua dk 10 HV.
 
Yaani hiyo hatua ya mwisho utauwa mtu MURA maana vinatumika mpaka Vilainishi.
 
Ni kosa kubwa kwa dactari kutokufanya DRE(digital rectal examination) kwa mgonjwa...kuna conditions mbili za kutofanya DRE either daktari hana kidole au mgonjwa hana mkund** in Dr Kategile(urologist MNH) voice.
 
Makonda hajawahi fanya kitu kikafanikiwa na kukubalika hata ndani ya chama chake mfu.
 
Mwanaume hutakiwi kuogopa dole, hayo ni mazoezi tu siku ukifumaniwa na mke wa mtu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…