Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Status
Not open for further replies.
Kwa hali hiyo wanaume wa dar hawatakuwa na marinda tena

Ni nini maana ya neno marinda?

Ukisoma Yeremia 13:22 inasema, "Nawe ukisema moyoni mwako, Mbona mambo haya yamenipata mimi? Ni kwa sababu ya wingi wa uovu wako, marinda yako yamefunuliwa, na visigino vya miguu yako vimeumia".

Ningependa kujua maana yake.
 
Huyo Bwana Mdogo Makonda, ni vizuri waanze na yeye kumpima kwa hatua ulizoelezea hapo juu.
 
Siku hizi kuna kipimo cha damu( Prostate-Specific Antigen (PSA) Blood Test )msiwe na shaka nendeni mkapime tezi dume.
 
huwa nawaza hivi huyu bashite angepewa mkoa kama wa mara angefanya haya anayowafanyia wanaume wa Dar!.
I wish one day wajichanganye watest moto waone.
GENTA welcome home sweet home kwa kipindi hiki..
au baki huko huko alafu utupe mrejesho. kama kweli hutapimwa oil.
 
Wamkochi wife akijua namna ya kupima hivyo ruksa maana ni mwili wake! Vinginevyo wasubiri Niko ICU!
 
Genta, mbona sijaona Ile hatua ya kupima oil?? Nikiifikiria hiyo hapo hapo nafura hasira kama dog aliyelishwa pilipili kwenye kipande cha nyama. I see you my prison mate,,,
 
Mhuuu shughuli ipo
 
[emoji2][emoji2]NASIKIA KUNA KUPIMO MPAKA GEREZANI/segerea.
 
Hata Mimi hatoki salama
Si wasubilie yanini kulazimisha as if wanalipa fedha kumbe kupata fedheha

Tezi dume inapimwa kwa kutumia damu kipimo kinaitwa PSA kama ikionekana kuna ttz vipimo zaidi hufuata.
 
Ama utoe ushirikiano au ufe.....tezi dume sio ya kuchezea.....choice is yours.
Bro; Hapo umesema kweli. Hebu nami nichangie hivi: Ukiugua "Tezi dume". (Angalizo: Ujue kwanza utaziba mkojo). Kwa hakika utajipeleka ww mwenyewe kwa miguu yako au utaomba bodaboda na ukufika theatre tu, cha kwanza bila hiyari, utawaomba kwa unyenyekevu mkubwa wafanye haraka kukunusuru. Acha mchezo. Ujeuri na Majigambo hapo huwaga yanaishaga mzee. Umwombe Mungu akuepushie hilo au usipite mapito hayo. Na bado utavalishwa catheter(Mpira) kupitia tundu lile la kupitishia mkojo na utakomaa nao kwa wiki mbili au zaidi.😱
 
Kwa kuhamasisha tukio hilo la muhimu kwa Mkoa was DSM mkuu mwenyewe wa Mkoa Bw Makonda anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi huo was Tezi dume huku akionyeshwa na ITV na TBC1 live ili kuleta mvuto kwa wakazi wengine wajitolee.
jingalao, Lizaboni, Nyani Ngabu, pohama nk mnaombwa mjitokeze kuunga mkono juhudi za Makonda
 
Daahhh ni ngumu, labda kwa mtutu wa bundukiView attachment 753610
Hapana Mkuu. Punguza hasira. Wanafanya hivyo kwa nia njema na wala sio kukuenjoy au kukufedhehesha. Pia uzingatie yote hufanyika faraghani na ni siri kati yako na daktari anayekupima. Vipimo kama PSA havipo hospitali zote mwanangu. Jipe moyo na punguza Over-sex. "Mtutu wa bunduki" utakuwa umeubeba ww mwenyewe i.e. maumivu utakayokuwa unayapata kwa hakika yatakufanya uharakishe, tena kwa mwendo kasi, kwenda Hospitali iliyokaribu na ww. Ukiniambia kwamba unatoa tahadhari kwa watumiaji wa barabara na vinjia vingine wakupishe njiani usijekuwagonga ningekuelewa vizuri zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…