Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le mutuz!??Hii inawafaa vijana wa dar....
Nimevuta picha ya njemba moja ya mtaani kwetu, sipati picha wakati linachezewa pumbu huku limeinamishwa
Ama utoe ushirikiano au ufe.....tezi dume sio ya kuchezea.....choice is yours.Natoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.
- Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
- Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
- Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
- Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
- Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
- Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
- Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.
Nawasilisha.
Kwa kweli namna ya kupima tezi dume huwa inakatisha tamaa sana. Ingawa ndugu yangu GENTAMYCINE umeongezea chumvi kidogo, lakini kile kitendo cha kuingiziwa kidole cha kati ndani ya njia ya haja kubwa wakati wa kupimwa tezi dume kinafedhehesha sana tena sana.
Mimi sitakaa nije kupimwa tezi dume. Namwomba sana MUNGU BABA aniepushe na gonjwa hili lenye kufedhehesha.
Kama utaratibu ndo huu basi mimi waniletee daktari wa kikeNatoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.
- Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
- Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
- Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
- Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
- Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
- Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
- Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.
Nawasilisha.
Kwa mapenzi mema nitakusindikiza GENTAMYCINE
HahahaHii inawafaa vijana wa dar....
Nimevuta picha ya njemba moja ya mtaani kwetu, sipati picha wakati linachezewa pumbu huku limeinamishwa
Ama utoe ushirikiano au ufe.....tezi dume sio ya kuchezea.....choice is yours.
Ni kipimo tu kakaKwahiyo unisindike kupigwa ' Ndole ' ya Tezi Dume Dada yangu au?
Unaongea tu.Bora ' nife ' tu Mkuu kuliko kupigwa ' Ndole ' waziwazi na ' mubashara ' na Madaktari wa Tezi Dume wa Makonda.
Kama utaratibu ndo huu basi mimi waniletee daktari wa kike
Natoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.
- Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
- Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
- Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
- Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
- Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
- Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
- Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.
Nawasilisha.
Kudadaki..hii michezo ya RC haina maadili.Ongezea: Watapaka tundu la mbolea mafuta.. K-Y jelly
Daktari atakupiga nyuma kidole cha shahada chenye gloves huku akikizungusha huko ndani. Atapapasa kuta zote za mk..nd.
Nasikia wanaingiza kidole kule sehemu ya haja kubwa kukaguwa uvimbe ndani
Kwa kweli haingizi MTU kidole wala doli lake.
Nivita kubwa hapo