Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

Deep down Papuchi zinamaliza hela za sisi vijana tuache ubishi. Huo ndio ukweli sema tunaleta ubishi tu
 
Una akili timamu
 
Mtoa mada umesahau kitu kimoja, hata ukiwa kijana wa miaka 18 kama mdada hakupendi, kwenye macho yake wewe na mbabu wa miaka 90 mko sawa, hapo ndo concept ya kuhonga inakuja ROBERT HERIEL
 
[mention]ROBERT HERIEL [/mention] naunga mkono hili jambo ,vijana hawaelewi tu haya mambo na ni waoga sana.
Mim nasema ukimtaka dem yeyote yule jitoe ufaham jilipue MTOTO wakiume dem atabanawee ataachia tu.
 
Demu atakusumbua Kama hajakupenda, ndivyo walivyo.
Hata umpe pesa mwanamke kama hakupendi huna utakalobadilisha
 
Kwahiyo date outing analipia binti mwenyewe?
Hapa hatujazungumzia date outing maana izo unaweza enda na baadae kila mtu akarudi alipotoka. alichosemea mkuu ni kwamba kumpa mtu hela ili upate utelezi hiyo ndio sawa na nikaunga mkono hoja. date outing pale ni kama refrement kati yenu tu
 
Sasa hapo outing mnatumia majani ya mpapai au pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…