KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Habari zenu wakuu!
Bila kuwachosha naomba niwaeleze hii kitu,Kipindi naajiriwa (gvt)nimekuta watu wengi tu pale aliwepo mshikaj mmoja ambae alikuja kuwa mshikaji wangu sana.Baada ya kuzoeana sana nikamshauri akaongeze elimu (degree)na kwel baada ya miez kadhaa jamaa kaondoka kwenda Dom chuo fulani kusoma UHASIBU.
Kimbembe kikaanzia hapo yaani kuna mke wake analiwa na mshikaji mwingne wa hapa hapa kazini na huyo jamaa ni rafik wa Mme wa huyo mwanamke.
Imefika kipindi wanaonyesha mapenz yao pale ofsini,na kila mtu anaogopa kumwambia mme mtu kwa kuogopa kuvuruga ndoa hii yenye watoto wawili.
Mshikaji akirud toka chuo huwa ananipa ushauri na mbinu namma ya kumfanya mwanamke asichepuke pindi nitakapooa,huwa ananiambia Mr X hakikisha ukioa unampa pesa mkeo,unampelekea moto mpka anaomba poo.
Hapo hatachepuka,huwa namuonea huruma sana na nashindwa nimwambieje yaan duuh.
Kama upo Chuo dom jua mkeo huku anagegendwa vibaya mno na jana tu lijamaa limeenda kwenye nyumba yako likamgegeda mkeo kwenye kitanda ulichonunua kwa pesa zako.
Huyu mwanamke ni mlokole kinoma yaan ukimuangalia hata anavyovaa utadhan mke wa Yesu (According to Ndugai)ila ndo hvyo mbunye yake inachakatwa karibu kila siku na mme wa tu.
Liverpool VPN na wengne njoo unipe ushauri nimsaidieje mshikaji wangu.